@nisaayaurejeshotz1: #gwajima kwake kumeanza kuchangamka one #msukule akirudi mchana kweupe

Wankyoh@gmail.com
[email protected]
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 08:28:19 GMT
50949
3038
136
113

Music

Download

Comments

jousephwirlsoon
CAPTAIN YU MOTOR'S :
part two please
2026-11-27 07:08:16
0
tawaqarhabibu
kitoto cha papaa 🥰🥰 :
ukiamini inakuwa kwajina layesu nahata mm natamani mama yangu aludi
2026-11-26 04:26:36
30
phillyfida
phillyfida Mgiriama :
jaman si hii injili ifike huku kwetu jaman watu tunaumia jaman😭😭
2026-11-25 20:57:16
14
sara.bugamba
Sara bugamba :
Mungu niwauweza Amina
2026-11-27 20:13:15
1
brayn6288
brayn :
nimekumbuka hiyo movie 🏥🏥
2026-11-25 11:34:06
8
gracevenson
Grace Venson :
Huyo ndiye Yesu, sio watu wanaobadilisha kazi ya chumvi na sukari kutoka kwenye kupikia, mafuta ya kupaka na kupikia, maji ya kunywa na kufanyia vituko kwa tamaa zao wenyew
2026-11-26 05:25:53
17
annawema81
Anna Wema :
nilikuwa nakuamin ila hili limeniuma sana
2026-11-25 10:56:25
10
user26247328298581
selemani Stella :
nimwaka gani,nawap
2026-11-25 17:05:19
4
shaizamamymhagama81
shaizamamymhagama :
sio utan nina ushuhuda juu ya hili zaman nikiwa nyumbn mkoa 2011 mdg angu kupitia mahubr haya kuita njooo njoo alirudishwa kipind yupo shule na apo kumbuka mch hakuwepo ni histolia ndefu ila mpk leo anaenderea vizuri
2026-11-25 19:57:43
6
stellah.shazilk
Stellah Shazilk :
mungu ampe nguvu sana gwajima aendelee kusaidia wengine
2026-11-26 04:11:02
8
jesus.family17
jesus family :
mmmhhh askofu gwajima ni hatar
2026-11-25 10:06:19
3
annamikah7
Anna mikah :
natamani ungekuja kwetu tanga korogwe kijiji cha mgombezi unge towa misukure sana hata wa zazi wangu wange toka mana wame potea wote 😭😭😭 naishi pekeyangu
2026-11-26 09:46:59
2
user299968241276
sinderellar :
Mungu wa Gwajima jaman nisaidie namimi mdogowangu Alfred arud kwajina la Yesu anateseka sana huwa anatuijia usiku analia anaomba msaada 😭😭 alikuwa chuo kikuu jaman
2026-11-26 04:35:15
2
user5245824368042
Momy JR❤️ :
😭😭😭😭😭😭 Oooh MUNGU WNG nimeumia sn jmn binadamu
2026-11-27 03:09:26
1
juliana_maganga
juliana_maganga :
ambao wamelia km mimi tujuan sheten kwer yupo kazini😭😭😭 yesu wangu asant
2026-11-26 05:54:31
3
queenwakatoro
Queen wa katoro :
Me nataman at kaka agu alud maan nasikiaa yupo anakutana na watu lakin sis hatumuoni huyo anae saidia nimpate na mm
2026-11-26 14:04:55
4
user1273471368855
maria :
waludikwajina LA yes u
2026-11-26 08:15:04
1
halifa.saidi4
Halifa Saidi :
Ni Move gani?
2026-11-25 10:28:52
3
annamikah7
Anna mikah :
😭😭😭barikiwa baba
2026-11-26 09:26:47
1
esau.ibrahimu
Esau Ibrahimu :
daaaah hili limeniumiza sana mungu nitie nguvu
2026-11-25 12:17:31
3
user658757052142
Suzana sarwa :
eeh mungu baba okoa watu wako
2026-11-26 08:45:10
1
user067695570
Francis :
Ameeeen
2026-11-25 23:09:49
1
user7301531276036
pilly :
ameeen
2026-11-25 10:19:16
2
user9849984853046
linah :
jamani kwa sTahili hii nikutumie majina ya baba angu umuombee kwa Imani atapona tyu
2026-11-26 12:41:23
1
basilisajohn1
Glory🦋 :
mlimchua video sangapi jmn
2026-11-25 10:46:29
2
To see more videos from user @nisaayaurejeshotz1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About