@asilinahalisi: Wakongwe mnakumbuka huu wimbo? #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibartiktok #oldschool

ASILI&HALISI
ASILI&HALISI
Open In TikTok:
Region: CD
Wednesday 25 November 2026 09:00:18 GMT
8277
639
75
50

Music

Download

Comments

sweetbertlusangij
Lusal :
tbc crew na pagdogy!we jamaa noma!
2026-11-28 17:01:08
0
no.no.no.no.no.no.nonooo
no online :
kaka huuwimbo nautafutaga sana siupati hembu naomba maelekezo niupate
2026-11-26 11:45:10
1
g.shy7
G SHY :
Pag dog alipiga show bwaloni Lugalo Mwaka 2000
2026-11-26 06:43:55
2
jack.mdindile3
Jack mdindilE :
Broo samahani lakini ulifeliwapi kwani brooo mbonaulikuaunaenda tuuu akitamboapo ilikuajawu et kaaaaa,, nakubali sanaaa
2026-11-27 15:11:41
1
shukuru.bernad
Shukuru Bernad :
huu ndo mziki nimewaelewa sana mpo wap siku hizi
2026-11-26 22:20:20
2
yaseenkezzo615
Yaseen🇹🇿🔑🗝️🔑🗝️🔑ZLE :
Tobacco family hao vp HALISI kuhusu goma flan linaitwa nakupenda hip hop ya roho saba
2026-11-25 20:45:53
1
mrweekenda
mr weekenda :
Pag dog,buruani aka ndimba pamoja Dr, Tobacco crew kawe 🔥🔥🔥
2026-11-26 19:41:08
2
mr.emmanuel1311
Emmanuel :
jina la wimbo
2026-11-25 10:48:25
1
chalz.m0
Chalz M :
Nawakubali sana wambaa
2026-11-25 09:07:07
2
jamesmahona
James Mahona :
broo natamani san unipigie ya nashi mc ongea na mwanao
2026-11-26 19:59:25
1
wise_boom
wise_boom :
dah nimekumbuka mbali Sana👍
2026-11-27 06:10:07
1
user33814942627502
mustard :
wanangu mko fiti sana.
2026-11-26 05:05:56
1
user6627586911227
YURAM 67 :
hatar sana hii nyimbo inaitwaje jaman nisaidien
2026-11-26 04:42:34
1
jamaly.zuber
Jamaly Zuber :
mmetisha sana wakubwa salute 🫡 kwenu
2026-11-26 16:35:34
1
stan.kunguni
Stan kunguni :
naombeni jina la wimbo na msanii alieimba huu wimbo
2026-11-26 07:55:24
1
user9462201285047
sponsor paschal :
naheshimu wakuu
2026-11-25 16:30:10
1
samwelkihongo
samwel Kihongo :
😁😁😁😁😁😁😄😄😄😄 pamoja sana mnaweza
2026-11-27 09:35:16
1
mr.emmanuel1311
Emmanuel :
oya nyie watu mnafanya nienjoy saa na mzik wa zamanii.
2026-11-25 10:48:07
2
meckzephania
meckzephania :
sijutii kuwafollo wajombaaa mnatishaaa sn
2026-11-26 04:47:34
1
nobi.mgaya
Nobi Mgaya :
Tbc makambako moja iyo.... mwanangu sana pag dogg ni balaa
2026-11-26 05:20:44
1
yona_trainer
Yona Trainer :
oi oi asie husika na hip hop atoke ✊ full rispect
2026-11-25 11:11:22
1
aminkisilo
kingsilo :
tobaco family Makambako
2026-11-25 09:22:59
3
user244805916061
user244805916061 :
huu wimbo ulitisha
2026-11-25 20:11:55
1
sirstoney1
SIR FELIX STONEY :
we mwamba nimekuamini ombi Langu umelijibu
2026-11-25 13:21:29
1
gaudance.joseph
Gaudance Joseph :
tobacco family mbeya road makambako hiyo
2026-11-25 19:52:13
1
To see more videos from user @asilinahalisi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About