Mungu inua kwaya hii isiwe na majivuno Mungu akawainue kwenye vipato vyao naipenda sana kwaya hii natamani mno kuimba
2026-11-25 23:26:38
2
Dory lukiyo :
kuimba ni namba moja naiaminia wasabato wenzangu
lakini wadada na wamama basi reception wapunguze vipodozi maana sio kuangalia tu ujumbe bali na aliekuletea ujumbe amekujaje
barikiwa sana mfike mbali
2026-11-25 17:10:57
1
To see more videos from user @adventistmusic1, please go to the Tikwm
homepage.