mangungu akichaguriwa kuwa mwenyekiti tena naacha kushabikia simba kabisa man haiwezekani kiogozi aspotiwe na mupizani wko kwerii...🤣☺️☺️☺️😊
2026-11-25 11:17:56
1
Ibrahim Felix Shabani :
Baba umesema kweli na bila wamekuelewa wasilete ubishi,huyo wamkate tu Kama huyo Mwenyekiti wa kamati anampenda huyo mkubwa akamtafutie timu yake siyo Simba
2026-11-25 13:29:49
0
OMARION. :
Mzee kipengele Cha umri pia kina muondoa mwisho ni miaka 64, mangungu ana miaka 67
2026-11-25 13:47:33
0
DEFALI PATRICK MBILINYI MBILIN :
💪💪💪
2026-11-25 09:50:20
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.