@pmakanshu_life_revival: Zoezi langu pendwa la kushusha sukari kwenye damu haraka. Fanya nusu saa baada ya Kula Kisha utakuja kutoa feedback hapa. Share ili wote tuweze kusema #kuishibilamagonjwainawezekana #eachoneteachone #drmakanshu

Praxeda Makanshu
Praxeda Makanshu
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 09:48:17 GMT
4235
154
11
69

Music

Download

Comments

abd.8804
abd -88 :
mama mbonaa asntee sanaaa
2026-11-25 09:54:34
1
_itsbeatus
Itsbeatus :
Naomba nifahamu wewe ni nutritionalist ama unatumia elimu ya AI
2026-11-25 13:11:42
0
kulwa.osman
Kulwa Osman :
Habari dada upande wa kushoto unakufa gazi na maumivu makali ndani kwa ndani je hiyo inasababishwa na nn
2026-11-25 13:25:50
0
bintiwayesu01
HSE Officer :
nimetoka kula
2026-11-25 11:02:20
0
unclederick0
unclederick0 :
mumezidi na nyie kila siku hamkosi jambo jipya mnatuchanganya
2026-11-25 11:50:15
1
shedidor_22
shedidor :
Utaamua wewe ule chakula kama dawa ama dawa kama chakula
2026-11-25 10:52:50
1
sanyu076
sanyu :
🥰🥰🥰
2026-11-25 12:13:56
0
user6084163528184
mimi :
🥰🥰🥰
2026-11-25 11:00:10
0
To see more videos from user @pmakanshu_life_revival, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About