@abuu_naufal: KHATARI YA MANENO ALIOSEMA YUSUF ABD LAZIMA WATU WAMJUE MOLA WAO YUKO WAPI #abuu_naufal #abuunaufalscholar #salafiyyah #TAWHEED #fyp

𝐀𝐁𝐔𝐔 𝐍𝐀𝐔𝐅𝐀𝐋
𝐀𝐁𝐔𝐔 𝐍𝐀𝐔𝐅𝐀𝐋
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 11:28:23 GMT
2868
204
30
21

Music

Download

Comments

moh814225
Moh :
akaimbe nyimbo uko😊
2026-11-25 13:18:31
6
habibmayike
Habibmayike :
subhanallah kwa hio sheikh yusuf amekufuru??😳😳
2026-11-25 11:57:12
2
abdulrashedalhilaly
Abdulrashed Alhilaly✔️ :
allah amuongoze na sisi ya rabb Thabaat kwa mikono ya allah
2026-11-25 12:00:43
7
masoud.msodoki6
Masoud Msodoki :
mumemuelewa uyo shekh susuf abdi
2026-11-25 12:07:54
2
hy.l.hms
Çhûî 00¹ :
na huyu msanii ndio chanzo kikubwa Cha vijana kupotea Mombasa na kuingia kwa mziki
2026-11-25 12:19:03
6
sayyid9144
السيد صالح الأهدل :
amesema ukweli shekh yusuf
2026-11-25 12:41:41
4
nimungutu8
تمام بخير :
huyu ame ona kwa dawah hapati pesa ame ona awache tu dini [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-25 13:07:35
0
guraya0012
mwanamoto🔥 :
Tena akiongea ana jazbah kweli
2026-11-25 13:44:43
1
swafiamohamed397
swafiamohamed397 :
لا حول ولا قوة إلا بالله. يا مقلب القلوب ثبت قلوبنا على دينك.
2026-11-25 13:17:05
2
salafiyya_channel
𝘼𝘽𝙐𝙐 𝙐𝙔𝘼𝙔𝙉𝘼𝙃 :
Mwiba wa koo kwa YUSUF ABDI na wale wote wanao fanya Istihzaai na maneno ya Mtume Muhammad Swallallahu alayhi wasallam
2026-11-25 11:48:53
3
k.rang7
k rang :
sheikh yusuf mkweli kabisaaaa na mungu atamuongoza
2026-11-25 13:01:45
1
mohammedikimolo
Mohammedi Kimolo :
wallah hakuna njia salama katika uislam ila ni njia ya kushikamana na Quran na sunnah
2026-11-25 13:07:58
2
lum2942904
Abuu mukhlis :
Allah a muhifadhi shekh Abdala humedi pia amuongoe huyu jama
2026-11-25 14:35:16
0
_.khalidabdallah321
Lee123🦁 :
Subhanallah 😂
2026-11-25 13:24:19
1
khmwamba
user5515481672753 :
yusufu kaimbe ndio fani yako
2026-11-25 14:06:24
0
talaashmuftitalaa
hamza talash :
yusuf hajakosea nynyi ndio hamjamuelewa lengo la shekh yusuf...ila twende naloooo
2026-11-25 14:35:58
0
user6suweyd
Abu muhamad :
Allh Amuongoze huyu Na ss pia
2026-11-25 13:06:26
0
mr.soyanest
MR. SOYANEST :
الله المستعان so sad
2026-11-25 14:04:52
0
habibmayike
Habibmayike :
subhanallah na kiapo amekitia kuwa aty mungu yupo juu
2026-11-25 11:55:43
0
wabewab1
BAHALI YAKE :
kweli shekh yussf abdi👌👌👌
2026-11-25 13:45:05
0
abu.fatma.hassan
Abuu fatma Hassan assalafiyy :
basi nafsi yake kubwaa😅😅😅
2026-11-25 11:39:06
1
abu.ahmadh2
Abu ahmadh :
MASUFI HAWAMFATI MTUME SAW NACHAWAHIFADH QURAN
2026-11-25 13:21:15
0
guraya0012
mwanamoto🔥 :
Maskini ameteleza
2026-11-25 13:41:51
0
dharry124
WATCHES ⌚ :
dah mtihan mkubwa ety huyo ndo mlinganiz
2026-11-25 12:55:02
1
karambwanda
Dongosinyo :
subhanallah kwahio aya na hadith za mtume s.a.w zimepitiwana wakati? kwani nyimbo km zinavyoitwa old school?
2026-11-25 12:19:16
3
To see more videos from user @abuu_naufal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About