@siunaona54: Twisted Affairs🫶

Siunaona🙃
Siunaona🙃
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 11:57:20 GMT
17846
1161
72
11

Music

Download

Comments

delikanl.kismet
Delikanli kismet🇹🇷 ✈️ :
na ndomaan movie inaitwa iylik/wema
2026-11-25 13:51:18
22
iamgracie612
Gracie🌸💕 :
Mimi ukishatoka na mume wangu basi wewe ni adui yangu milele😏sina wema huo
2026-11-26 09:53:11
19
happy19204
happydaniel949 :
nesllia. ni zuchu kabisa
2026-11-26 08:07:16
6
iron_girl_4
iron_girl_4 :
wema huo me Sina 😂💔🙌
2026-11-25 13:13:12
16
rehemajulius18
reym@ :
neslihan ,nesrihan, neslihan
2026-11-25 19:58:56
7
priencesslizzy
priencesslizzy :
wema huo m sina kwanza nikijua kwamba ww umeshatoka na mwanaume wangu ndo wema unapoishia hapo😁😁
2026-11-25 15:07:18
9
blackbeauty7916
chonge🙏 :
ana moyo Wa kipekeee Sana jmn Hana roho mbaya
2026-11-25 18:41:22
4
mammydimpozyofficial
Mammy dimpozy official❤️❤️ :
Neslihani ana moyo wa kipekee sana jamani
2026-11-27 05:18:49
4
beautyaisha6
aisha beuty@ :
hapa na labda sio mpemba mimi jaman kuna vitu vyakusamehe ila sio hivi damla mie ndo ningekuuwa🤣🤣🤣🤣
2026-11-26 16:35:48
2
ilhanay7
IlhaNay :
ila hakomi neslihan jmni khaaa
2026-11-25 13:26:14
5
rey_ysr
Rey_ysr😍 :
yan kwauku bongo mhmhmh sijuwi mana mhmhmh ata mi siwenz
2026-11-27 17:12:43
1
jayleehassan1
Jämïlläh Störë Mwänzä📌 :
Bi shahika anashangaa 😂
2026-11-26 14:37:48
2
zulfamohd808
da zuu💞 :
ya Gigi yale kunisaidia alisoni pamoja na yote aliyofanyiwa
2026-11-25 14:46:54
3
nour_el_einyy
Nour_El _Einy :
Huo binaadamu me sina😂
2026-11-26 05:15:41
3
sophyboboo
Boboo✅️ :
kamfanyia wema ili damla atoe siri za murat lakini hapo sio mda kila kitu kitajulikana
2026-11-27 08:00:03
1
marthamichael240
Martha michael :
nikiwa na roho kam ya neslihan ningeshakufa kitambo😅😅
2026-11-26 12:24:16
1
usermarthabitta5
usermarthabitaaa :
huruma sio malexi neslin
2026-11-26 09:03:54
2
munahramadhan375
Munah Ramadhan :
Anakiranga nae
2026-11-26 09:56:10
2
officialasmah5
Official asmah✨🦋 :
Kufanyiwa ubaya na walimwengu kusiue utu ulionao ndani hii inawafundisha namna ya kuishi na watu haijalishi watakufanyia nin simama kwenye misingi na ukwel wako mafuta hayawez kukaa na Maji
2026-11-25 14:03:06
3
priscila.mauja
Priscila bin mauja🌺🌹 :
Sipendi watu kama neslihan😭yan hujifunzi!??mtu mbaya hawezi kubadilika kiasi cha kua mwema kiivo
2026-11-26 09:58:04
1
elizabethkulikiz9
Mama G🤱💋 :
ndlo maana ananikela
2026-11-25 20:03:43
1
royal.roy56
Royal Roy :
Sasa rasmi nimegundua director hataki kumuona Damla akiteseka😁
2026-11-25 16:30:35
1
dicksonjob3
Beliciana ❤️ :
maana alis ya kua mama
2026-11-25 14:07:03
1
amtaf_umu
fatma :
etiiii hapana😳wema huu siutaki
2026-11-28 08:14:19
0
philomena.lusasi
pHilomena ♉️ :
hii episode ya ngap
2026-11-26 05:55:38
1
To see more videos from user @siunaona54, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About