Maeneo ya nyumbani kwetu kabisa wako vizuri sana walinisaidia kipindi kidonda cha cs kilipogoma kupona
2026-11-26 06:33:27
2
masanja health🩺💉&funny🤣🤣 :
hafu kuna mtu anasimama mbele ya wazri anasema watumishi wa afya wazembe☺️
2026-11-25 20:29:19
4
Tyndeh 🥰 :
sio utani hii hosp mko na good care niliwahi kuja na asthma attack mlinipokea vzri Sana thanks Mungu awabariki Sana 🥰🥰🥰🥰
2026-11-25 18:45:27
2
Meddy achi@ :
isikie ukiwa field na midoli kama hivi live action yake inatisha
2026-11-25 19:29:55
4
barnaba andrew :
😂😂😂 ila tamisemi...
2026-11-26 12:01:15
0
official Joseph :
iyo copy ni noma sana 🤣🤣🤣🤣 mkaona mkivya gloves 🧤 mtachelewa
2026-11-26 10:30:52
1
emmanueldr.tz :
Endeleen kufnya content siku ikiwapata na kma sio ktuo cha serikal nkashndwa kuimeneg jua mnafungiwa ktuo oohoo😂
2026-11-25 19:47:21
0
de shengli :
mbona hamjavaa gloves, hamjui Kuna hepatitis
2026-11-26 04:29:45
0
Happy_ :
tatizo huku tamisemi zamu upo pekee yako, saa saba usiku unajishoutia mwenyewe for help, na unajihelp mwenyewe ukisaidiwa na MUNGU
ukisubiri msaada, inakuwa toooo late
2026-11-25 17:20:27
6
@Themirror :
❤️❤️❤️
2026-11-25 13:48:47
0
barnaba andrew :
😁😁😁
2026-11-26 11:58:57
0
To see more videos from user @kilolelijuuhc, please go to the Tikwm
homepage.