@bbcnewsswahili: Baadhi ya viongozi wa Afrika walibadili katiba za nchi zao ili kuondoa ukomo wa mihula ya urais au kuanza upya hesabu ya muda wao wa uongozi na hivyo kupata nafasi ya kuendelea kushikilia madaraka. Mjadala huo umeibuka tena nchini DRC baada ya Rais Felix Tshisekedi kusaini sheria ya kura ya maoni kuhusu masuala ya kikatiba. Hatua hiyo imezua hofu ya uwezekano wa mabadiliko yatakayomruhusu kugombea muhula wa tatu. @_phillys anaangazia baadhi ya viongozi waliofanikiwa kubadili masharti ya katiba na kusalia madarakani #bbcswahili #fyp #viral #foryou #viongoziafrika

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 13:05:26 GMT
43901
2952
93
152

Music

Download

Comments

de.dreamer37
de dreamer :
na ndio marafik WA RUTO
2026-11-25 14:39:24
33
user1845037956143
The impeached :
Uhuru also tried through BBI but failed 😂😂
2026-11-25 14:09:33
12
painterpharrell92
PainterPharrell92 :
The reason when you turn the map of Africa it looks Iike a chair so the leaders can seat and rule forever [Tears of joy]
2026-11-25 18:52:08
0
chefkatamu
katamu :
wote ni watu wa ruto
2026-11-25 14:54:55
13
bencarson123
Carson Collection Official ✅️ :
President William Samoei Ruto loading
2026-11-25 16:15:56
2
denniskorir5260
Kipchumba :
Ongeza baba joji please
2026-11-25 15:03:11
1
bushiri.rashid0
Bushiri Rashid :
Samia ndio anataka iro
2026-11-25 14:08:13
6
chaliichalii1
Chalii Chalii :
vibaraka hao
2026-11-25 14:22:11
4
user5896181665550
user5896181665550 :
puppet s musevin
2026-11-25 15:48:00
0
urbanuskioko125
urbanuskioko125 :
Ruto will try it and it will take him home 🤣🤣🤣🤣
2026-11-25 18:00:41
0
coco165629
Bramley 👑 :
UGANDA 🇺🇬 always a winner 🏆 Grandpa RULE Forever
2026-11-25 14:40:09
2
worldsaviour4
THE SAVIOUR 🙏 :
Our kasongo tried but it failed 😅😅😅
2026-11-25 15:11:00
4
saddiidd8
SADDI 我太爱自己了 :
umesahahu Kenya Pres.Moi ruled for 24yrs
2026-11-25 18:03:42
0
hakiza085
silver 🪙 :
wakwanza m7
2026-11-25 19:08:12
1
joe311615
￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴ ￴￴ ￴ ￴ ￴ ￴ :
Here I'm 😁
2026-11-25 14:54:09
3
user4518506879810
user4518506879810 :
Kenya ni wantam 😂😂
2026-11-25 19:28:00
1
robson22368
Robson :
sasa mbona umesahau Tanzania
2026-11-25 18:10:46
1
sharkx.boy.sharkx
Sharkx Boy Sharkx Boy :
viongozi wa ki Africa waroho wa madaraka watamani wàndelee kubaki madarakani tuu😭😭😭
2026-11-25 19:02:53
0
edward.ruge8
Edward Ruge :
aisiisikie hii
2026-11-25 15:59:08
0
0f7phil
amongai :
bado Bongo, ni swala la Muda na sio mbali
2026-11-25 14:15:08
3
wahida.muhsin.hus
muhsin wahida hussein :
2026-11-25 13:21:47
2
s_yildirm
S_Yildirm ♌️ :
Mnatuandaa ki Saikolojia 😂😂😂😂
2026-11-25 13:34:12
1
jaguar_9260
Jaguar_92 :
mbona kama ....
2026-11-25 13:14:29
1
mbakalos
🇺🇸🇿🇦 bakaloss 🇨🇩🇰🇷 :
Congo lazima utabadilisha Felix hadi 2089
2026-11-25 20:11:00
0
user9411178486771
Thierry paluku💯 :
Félix mupaka 2090 sisi wa Congo tuko tayari kubadili katiba
2026-11-25 21:03:47
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About