Kuna baba yangu huko yeye alitangulia tokea 2024 naamini atakupokea vizuri. Mlale salama, usiku wa kwanza leo gizani usiogope kaka Eddo Mungu na Malaika wake watakupokea vizuri😍😍😍😍😍🙏🏻
2026-11-26 08:32:24
5
Roina Simba :
pumzika kaka yetu😭
2026-11-26 09:07:27
1
Official Diana Ezekiel :
huyu kaka amejuwa kutuliza jaman😭😭😭😭😭😭
2026-11-26 09:01:00
1
mom wa G :
mama angu katangulia mwaka jana mwezi wa 11 atakupokea kaka