hujaweka chato net ivent wimbo ulisema mungu kwanza
2026-11-26 15:52:28
1
It's Ollie 🌸🌸🌸 :
Mbeya net event 🙏🏾🙏🏾Yanibariki sanaa mpk keshoo
2026-11-26 16:03:40
2
john jd⛑⛑ :
mungu kwanza 2019
2026-11-26 14:39:54
1
Hosea Benedictor :
wanaitwaje hawa waombaji
2026-11-26 15:49:02
1
Berico :
hatimaye maisha ni kwa yesu
2026-11-26 14:58:53
1
oliphina :
kahama net event
2026-11-26 14:59:52
1
Givence Matoke :
hili nitumaini
2026-11-26 14:40:13
1
Baby J :
huuuu wimbo unanifany nihisi bado mkutano upo
2026-11-26 14:58:16
0
Sabato Mm :
magomeni net event 2025
2026-11-26 14:55:07
1
sibro's :
kuna ule wa ITM ya dodoma na mchungaji baraka mganda. uzoefu wa nguvu za Mungu
2026-11-26 13:33:04
1
Victor :
Yatosha jangwani
2026-11-26 16:08:56
0
A man of the people :
tumesikia mbiu yesu huokoa
2026-11-26 13:39:32
1
abby geofrey :
ujaweka ule wa
njo uonje uzoefu wanguvu za Mungu
2026-11-26 13:03:57
1
½ kaputi :
maisha hatimae
2026-11-26 13:32:48
1
cute girl😘 :
hatimaye maisha ni kwa yesu
2026-11-26 12:23:15
1
Boniface Bonnie :
UZOEFU WA NGUVU YA MUNGU
2026-11-26 13:46:19
1
Eunice Richard :
ndye wimbo wa kwanza
2026-11-25 19:05:36
1
Eunice Richard :
kati ya nyimbo zote zilizo imbwa net iveti huu wimbo niliupenda sana kuliko zote
2026-11-25 16:39:15
3
twins👩❤️👨100% :
nyumbani hatimaye
2026-11-26 13:02:51
1
chiloerick :
yatosha jangwani maana ndio Net event yangu ya kwanza nikiwa Muadventista Musabato
2026-11-26 13:49:32
3
youngson :
hapo zote ni kali sana na natamani kanisa lingeongeza hizi net event kwa kweli
1. maisha hatimaye hapo nipo advance KATAVI na ndiyo nimetoka kubatizwa na akilini mwangu najua hizo net event zinafanyikaga mbeya tu😂😂
2026-11-26 12:57:28
2
𝐁𝐚𝐫𝐚𝐤𝐚 :
ilikuwa bomba sana hii me naipenda zaidi HOPE FOR AFRICA
2026-11-26 14:25:07
1
To see more videos from user @7.aprilmusic, please go to the Tikwm
homepage.