hatuzai ili watoto watulee wazazi ila tunazaa ili watoto wetu waje kulisi Mali zetu,,, we are already rich 😂
2026-11-25 15:59:47
229
Latifa Saidi :
haya maneno mengine hata sio mazuri wengine tunatafuta uzazi wa shida mnatuvunja moyo jamani😔😔😔😔
2026-11-25 16:58:36
36
kariakoo super shopping :
Hesabu haisadii uzae una miaka 18 unaweza kufa una miaka 20 mwenye 30 years anazaa mtoto mapaka anakuwa 20 years mtoto anakufa mzazi anabaki haisadii hesebu za punguani hizo
2026-11-25 16:28:45
66
francisca ngamesha :
Mbona unanisema mm[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-25 17:18:58
0
user28276605500665 :
asa kuzeeka kwangu na kukua Kwa mtoto kunausiana nn
2026-11-25 16:58:37
36
twins❣️💋 :
wengne tunawatafuta usku namchana ila bado sjapata na sjui nitampata lin na umri unaenda na kla mwanaume anashndwa kunivumilia kwa hil tatizo e mungu naomba unikumbuke na mm🙏🙏
2026-11-25 17:08:12
9
Rita💙LuLu💙💙 :
am 24 my kid 4 yrs
2026-11-25 17:27:22
0
rajabbauss :
life extensese sijui life exnini sisi tunajua baina 60 mpk 70 na siku izi tunabonda mpk 80... 90 ivi tunanyonga
2026-11-25 16:33:45
22
ms m❤️ :
tulio zaa na miaka 18😁
2026-11-25 16:17:41
10
jeremiamtaalamu :
mpaka 50
2026-11-25 18:03:53
0
Baby Faith :
kwani mpaka anafika la Saba nitakuwa cjapata mwingine, hebu huko😂😏😏
2026-11-25 18:23:46
2
D.n.l,,official :
trust me, nitaishi 100+ with peace and success
2026-11-25 16:53:20
0
Shaky mumy@1921 :
nna31 firstborn ana7 😅
2026-11-25 17:38:58
0
mtumishi :
Nina miaka 26 nA Bado cjazaa pia hata wa kunioa Sijampata cjui nitazaa lini
2026-11-25 17:03:20
5
Mulatto junior :
Kumbe mm wa miaka 40 bado kijana sana,mwakani nipate sasa mtoto😅😅😅
2026-11-25 16:28:39
7
rishamapozi :
mimi ndo nakufa mgumba dah we mungu nilikukosea wapi mimi mbona umeniumba nije kulia kila siku🥺
2026-11-25 18:15:06
1
ross :
watoto wa uzeeni ndo wanakuaga na akili m baba angu ana miaka 65 mm sahv nina 20 lakn sina akili🤣🤣🤣
2026-11-25 16:56:57
5
Dido Manyota :
Mambo ya kuzaa mapema au kwakuchelewa muachie Mungu. kuna wengine wanapata watoto Umri mkubwa, hiyo ni kazi ya Mungu
2026-11-25 17:32:30
1
Reyah🤍👩🏫 :
manene haaya😂😂😂
2026-11-25 17:26:05
0
ummy ssalamah :
alhamdllah miaka 23 nna watoto 2 na mmoja alikufa wa 3 nasasa nna mimba[Heartwarming]
2026-11-25 17:59:46
2
Jafar Singh :
kuzaa sio lazima kwanza ni mungu akijaalia tu . afu msitutishe😁
2026-11-25 17:56:01
1
Itz_Zayrin🥥🌴 :
Sitaki kushauriwa
2026-11-25 17:38:58
3
Juddy 🩶 :
alafu kuna mimi nina miaka 26 na watoto wa 4 😂😂😂
2026-11-25 17:15:45
1
Emy♥️♥️ :
wakwangu anamiaka 7 nina24 soshida zangu
2026-11-25 16:51:58
0
To see more videos from user @bonisonj4, please go to the Tikwm
homepage.