huo ndiyo ukwelii,japo kumweelewaa inaweza kuwa ngumu
2026-11-25 18:50:27
9
Rashford Elvis :
We ni mzuri ukitokea pembeni big time Champion🫶
2026-11-25 19:11:38
6
user1111542679710 :
hili Jambo limeniumiza muda mrefu Sana.
2026-11-26 04:07:07
4
fulltank :
he is right
2026-11-26 05:44:03
0
Meddy achi@ :
100% ukweli mtupu mkuuu🙏🙏
2026-11-25 19:08:55
3
mussafesto :
huy father n nan
2026-11-26 19:25:16
0
Xaixai Obrigado :
ni kweli; niko nawe,hao hao uwasemao,nilishawaambia wenzangu kuwa siwaelewi nawahurumia;
kuna mmoja juzi juzi kazuka na kupiga kifuwa kuwa tZ ndiyo ya kwanza barani kuandika sheria ya vyama vingi vya kisiasa wkt tZ sio ya kwanza kufanya chaguzi za vyama vingi(mfano zambia 1991 !
muulizeni ilifanya uchaguzi bila sheria?
kk mwenyewe aliwahi kukubali kushindwa na f t chiluba kwa kumpigia simu alfajiri ya matokeo!!