@sanjadr2: Ni kama juzi tu baba😭, Always unaishi ndani yetu#waletukupendao# endelea kupumzika #wasukumataifakubwa🔥🔥 #magufuli #magulificationoftanzania pppppppppppp#milestone go viral
Masanja
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 15:32:34 GMT
Music
Download
Comments
Rupia :
hata hapo anaonekana alijikaza tu alikuwa anajisikia vibaya
2026-11-25 21:44:44
2
b@ reshma45🤫? :
dah mi nakukumbuka milele baba😭
2026-11-25 23:28:46
1
Imelda Sylvester :
ndio walikuwa wameisha muwekea vitu vyao walivyo kubaliana hao watafuna nnchi mpaka leo nnchi imewashinda kuongoza
2026-11-25 22:07:43
2
STRANGER :
milele amima
2026-11-25 21:54:09
1
Shenye Lugiko :
Apumzike kwa Amani
2026-11-25 19:27:30
1
Micky wizzy leeh :
apo alikuwa anawaza anajua itakuwaje anaondoka hajamaliza kaz ila mapenz ya MUNGU yakatimizwa
2026-11-25 19:32:29
1
chacha ng'weina :
😭😭😭😭nchi saiv imeingiliwa na wahuni rest in peace baba tupo nyuma yako tunakuja inaumiza sana
2026-11-25 19:15:18
1
MAKAO👑 :
alitumia mkono naona Kuna kitu kafungwa 😭😭😭💔🤍🖤🕊️👣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🙌🙌
2026-11-25 23:35:39
0
Grace :
Mzee Kama Vile Alitenguka Mkono jaman Dah Mungu Amlaze Mahal Pema Jaman😭
2026-11-25 21:51:27
1
MR PETER :
Yaani moyo mpka umedundia nje ya Tirshet aisee uhuuuu
2026-11-25 23:36:35
0
dee-muller99 :
Walikuwa wana mpiga sana vita mzee wawatu ila daah pow tu
2026-11-25 23:08:37
0
Mainka :
jmn jmn
2026-11-25 23:15:22
0
top :
ingawa wamemuuwa lakini bado yupo sana nasi Samia na kikwete na genge lao la kuuwa tuone wakiishi milele
2026-11-25 22:34:19
0
aladinho 13 :
Miguu tu inaonesha alizofika kwa mfupi
2026-11-25 22:21:43
0
Michael Mj :
😭 😭😭
2026-11-25 17:13:27
1
Inno :
😭😭😭
2026-11-25 19:28:10
1
abdulqadirkibassa :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-25 21:48:14
1
Onesimo deus :
😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-25 22:38:50
0
To see more videos from user @sanjadr2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.