@balozikonshazi:

BALOZI KONSHAZI
BALOZI KONSHAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 16:22:43 GMT
5289
350
22
63

Music

Download

Comments

factotum_19s
&+-Factotum#369 :
haziponyi alafu serikali wananunua😅
2026-11-25 17:59:06
1
copyloom
BaNtu Soul :
PLACEBO
2026-11-25 18:50:17
0
hgold_onestar7
onestar255 :
Kweli kabisa maana mimi nimepona maranyingi bila kunywa dawa hadi wananishangaaga natamani nipate namba yako kweli kaka mimi nimewahi kupima nikakutwa na maralia lakini nilipona👆👏👏👏👏💪
2026-11-25 17:24:19
1
user98853703070
pasco :
ila unajuwa mda mwingine mwe mnatuacha màana mmezidi sasa.
2026-11-25 19:24:53
0
vanich7561
Vanich :
kweli
2026-11-25 18:02:00
0
mikelebende1
Mikelebende Super Star :
vipi
2026-11-25 16:29:30
0
user270178624159
classic :
kinachotibu ni dawa bhana acha kupotosha watu
2026-11-25 18:03:58
0
user6611077010993
mpori pori :
mbona kama Kuna kaukweli ndaniyake jamani?
2026-11-25 17:23:59
1
user270178624159
classic :
Dawa ndo inafanya tiba (treatment) ubongo unafany uponyaji (healing) na ndomana ukimeza dawa za maumvu ugonjwa unapoa lakin ujafanya tiba bado ili utibu uuwe vijidudu kuuwa vijidudu vya ugonjwa ndo kutibu, ila uponyaji Sasa ndo unafanywa na ubongo
2026-11-25 19:11:13
0
hemayakinabiitvge
Baba :
ukipenda usingizi unakuwa masikini
2026-11-25 18:45:01
0
abraha3915
Abraha :
ukimwii je
2026-11-25 18:45:54
1
user270178624159
classic :
Sasa kupambana na vijidudu vinavosababisha ugonjwa si ndo umetibu ugonjwa kwa mgonjwa kinachotibiwa ni ugonjwa na ndomana inashauliwa vipimo kabda ya tiba, coz ukimpa dawa mgonjwa bila ya vipimo unatibu nini wakati hujui anaumwa nn!!
2026-11-25 18:02:21
0
dickie.ruge
Rugemalila :
Dawa zinasaidia mwili kujitibu wenyewe ukinywa dawa ya maumivu ni kusizi kwa neva usihisi maumivu ila yapo palepale
2026-11-25 19:27:08
0
To see more videos from user @balozikonshazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About