@stunninglula: Je inaruhusiwa katika dini kuomba dua kwa lugha yako katika sijda???? Tujifunze jamani na ushahidi wa Hadith na sunnah @Suaad Beauty & Style #QuranHealing #Sunnah #IslamicReminder #dua #Dhikr @Husayn Arif Official @Qadrah Hassan @fumau mshairi 👳♂️ @Majirani_wa_peponi🦋❤️
Yes inaruhusiwa kwenye Swala ya sunnah pekeee!!! Swala ya faradh hairuhusiw
2026-11-25 16:43:38
33
ummu basma :
Ameen Ameen yaraby
2026-11-27 20:13:00
0
zumba omary :
Ukisha toa salam bas sujudu tena hapo omba kwa dua yoyote maana swala ipo katika lugha maalumu ya kiarabu inapendeza zaid kuomba kwa kirabu kama hujui ndoo maana dini ni kusoma jifunze ujue pia hapo dua kubwa sana omba hata Rabana atina fidunya hasanaa..... hii ni dua pedwa sana kwa mtume wetu. inatosha
2026-11-26 06:14:49
14
Esha :
mi.pia sijui kiarabu lkn nependa sana swala za usiku alhamdulillah na mimi dua zangu zote siku zote huomba kwa sijidah iwe sunnah iwe faradh mi huomba dua kwakila.sijidah ya mwisho kwakoswahili tena nasujudu kwa muda mrefu na alhamdulillah alhamdulillah alhamdulillah hakuna dua yangu ambayo nimemuomba mola.wangu ikarudi alhamdulillah kila dua ALLAH yuanijibu alhamdulillah 😊 💖
2026-11-26 01:31:10
11
Rayan Jr🇺🇸 :
me nmejikuta napenda swala za usiku ,, tu. ,
2026-11-25 17:24:35
10
🪫 :
A.alaykum hii mada ni ndefu lkn naomba nielezee kwa ufupi tu…Mtume s.a.w anasema “mtu anapokuwa karibu zaidi na Mola wake ni wakati akiwa katika Sujud. Hivyo zidisheni dua.” hadithi Inatuonesha kwmb huwez kuzidisha kuomba du’a ikiwa lugha unayotumia utakuw huielewi..Hadith nyengn ni “Tambueni kwamba nimekatazwa kusoma Qur’an nikiwa katika Rukuu au Sujud. Katika Rukuu mtukuzeni Allah, na katika Sujud jitahidini sana kufanya dua, kwani kuna uwezekano mkubwa dua zenu kujibiwa” hii pia inaonesha kuwa uwezekano wa du’a yko kujibiwa ni pale ambapo unaielewa du’a ambayo unaomba (kwa lugha yyte)..na ushahidi mwengn ktk Quran Allah anasema “Niombeni, nitawajibuni” maana yake Allah ukiomba kwa du’a yyte anakujibu hajasema “Niombeni kwa kiarabu nitawajibuni”…tuje kwa wanazuoni wanne bora (Hanafi,Malik,Hambal na Shafii)..Hanafi anasema du’a lzm iombwe kwa kiarabu ndan ya sala, Malik anasema haifai kuomba kwa lugha nyengine ikiwa unajua lugha ya kiarabu,Shafii anasema km huwezi kuomba kwa kiarabu basi omba kwa lugha yako ndani ya sala lkn ya sunnah, na Imam Hanbal anasema haifai kuomba du’a kwa lugha isiokuwa kiarabu km Unajua lugha ya kiarabu…kwa kumalizia tu mtu hupaswi kusema dhehebu langu kw sbb Madhehebu yote ni sawa na yote yako na daraja kubwa kwa Allah sisi waislam tunapaswa kufata Madhehebu yote lakini km utachaguwa dhehebu moja pia ni sawa Ila Madhehebu yote ni sawa
2026-11-26 06:05:33
7
💦Mrs thony💍🎁♥️ :
je katika swala ya faradhi inaruhusu kuomba kwa lugha yk au ni kwenye sunnah
2026-11-25 16:51:47
6
BI WARDA :
sasa mimi nikisujudu kwamuda mrefu pumnzi inaniishia nafanyaje?
2026-11-26 16:28:38
1
ukipenda jeuri kwisha ❤️🥰 :
hapa Kuna mthiani mzito mashekh tujibiuni hili mana wengine atuelewi kiarabu wala atujuu kiarabu jee itakuwaje kwenye kuomba Dua katka swala ya faradhi je uwezekano hupo kuomba Dua Kwa lugha yangu ama☺️
2026-11-27 15:36:24
0
official chichi :
mimi naomba nielekeze namna ya kuswali tahajjudi
2026-11-28 05:56:25
0
offical mamu27 :
inaswaliwa sangap iyo swala
2026-11-27 11:30:10
0
user9292117107269 :
naje swala ijumaa unanuia vipi
2026-11-26 21:35:59
0
Naah :
me naomba nielekeze ukitaka kuswal tahjud ni swala ya sangapi na faradhi ni swala ya sangapi
2026-11-26 14:58:52
0
Mrs Zaydun :
mm ninamtoto mdogo napata shida kuamka nimeeka mpaka alam lkn ikiita naikata nifanyeje ili niwe nasali kipenz
2026-11-26 11:11:21
0
Baidha Al-Sikaiti :
sasa vipi watu wliiokuwa hawasemi kiarabu waombe kwa kiarabu. kumuomba Subhanawataala unaweza kumuomba lugha yoyote
2026-11-27 06:10:59
0
Zainab Abdulrahman :
Dua unayoilewa kiarabu waeza tamka kama huilewi nawataka kuongezea lugha yako tuliza moyo wako omba kwa moyo minilifundishwa na mwalimu hivyo allah yuaziona nia na allah yuajua zaidi
2026-11-26 06:46:37
0
🌼🌼🌼 :
خارج الصلاة: يجوز الدعاء بأي لغة.
داخل الصلاة: المسألة خلافية بين العلماء.
من كان قادرًا على الدعاء بالعربية، فالأحوط والأفضل أن يدعو بالعربية خصوصًا في الصلاة المفروضة.
من لا يستطيع العربية، فقد أجاز عدد من أهل العلم الدعاء بلغته.
يمكنكِ حفظ أدعية عربية قصيرة جامعة، والدعاء بها في السجود وبعد التشهد الأخير.
والله سبحانه يعلم ما في قلبك، ولا يحتاج منك إلى لغة حتى يفهم حاجتك
2026-11-26 07:01:24
0
user9292117107269 :
tajuud inakuaje nieleweshe
2026-11-25 19:25:57
0
user9292117107269 :
na swala ya usiku unanuia vipi
2026-11-26 21:36:23
0
FATUMA IDDY🥰🥰 :
mm sijui chochote ila Nina swali je dua zangu Zina kubaliwa?
2026-11-25 16:54:03
3
Rehema Rehema :
Tufundishe kutia Nia. Swala ya faradh na suna tofauti tofauti ya Swala za sunna
2026-11-26 05:37:31
0
Zeecuety 🌸😍 :
Na Mim nasubir majib kwa mashekhe na ukti ili tujifuze nasie wengin 😔🙏
2026-11-25 17:40:22
0
fahadpola :
hata mm kwa jinsi nilivojifunza unaweza kuomba kwa lugha yoyote ile shida zako katika swala ya sunna,, ila ni vizuri ujifunze lugha ya kiarabu ,, wallahu aalam
2026-11-27 15:17:21
1
simplicity_her❤️💧 :
Allah atujaalie safari njema ya Akhera na atukubalie swala zetu
2026-11-25 16:43:45
4
Ndibwa :
Kwa ufahamu wangu unaruhudiwa kuomba kwa lugha yoyote lkn ukitoka sala ( baada ya kutoa salaam)
2026-11-26 02:33:29
2
To see more videos from user @stunninglula, please go to the Tikwm
homepage.