Hatuna ujamba mbele yako maana pumzi tunayovuta ni ya kwako ewe mungu wetu kipenzi unaetuhurumia kila dakika waja wako hatuna ujanja mbele yako umetuumba kwa mfano wako tunaomba mwisho mwema kwako
2026-11-26 14:58:11
69
Sarah Daama :
Ameen yarabby
2026-11-28 06:06:19
0
Aisha_Kinde :
Ameen ya rabbi
2026-11-27 15:56:50
0
phone case :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-11-27 06:47:53
25
Najma Rashidi :
Mungu tupe mwisho mwema
2026-11-27 12:57:22
0
SHEKHE IBRAHIM MJAMWEMA :
NIKHERI HIZI NINEEMA KUBWA NIMTU WA MUNGU KABISA HUYU
2026-11-26 16:02:32
21
pendo1 :
inamana gan kwa anaejua
2026-11-26 15:45:49
9
nayanailati :
allah tupe mwisho mwema
2026-11-26 12:10:31
11
🦋 🌹فاطمة الزهراء :
Allahu Akbar, Allah atujalie mwisho mwema
2026-11-26 07:03:05
20
rehemaismail8590 :
mungu nipe mwisho mwema
2026-11-27 10:13:51
3
mamamlenge :
yarabi tujalie mwisho mwema
2026-11-25 19:42:49
10
kibai aisha :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-11-27 14:53:11
0
OFFICIAL_MÐG_MK4️⃣5️⃣🍁 :
Amiin🤲
2026-11-26 22:27:16
2
Sally🌹 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-11-26 18:47:01
8
🌸💦måčhøø ğïřł💦🌸 :
allah tupe mwisho mwem
2026-11-27 09:46:25
0
💦💦Shamsu kareem🙏dadaz'💦💦 :
Allah akbat
2026-11-27 09:48:08
0
kindamb :
inasikitish
2026-11-27 16:51:12
1
☄️KIBA"🚗🚀🛸🪐 :
Allah Akbar
2026-11-27 08:14:25
0
💙mumy cayllay 💙💍🌹 :
Allahu Akbar
2026-11-26 22:10:19
0
Asha Amisi :
allah tujaliye mwisho mwema mena familiya yangu
2026-11-27 09:53:53
0
Halima Seif :
subhanallah allah atupe mwisgo mwema yaraaaab
2026-11-27 17:30:09
1
Salma :
Amiin
2026-11-26 14:01:57
2
mmwipi....mr :
amiiin
2026-11-26 19:58:31
0
linha :
mm hata sielewi nipo ka zezeta😂😂
2026-11-27 10:05:59
1
To see more videos from user @mom.zuuh8, please go to the Tikwm
homepage.