Me wangu ana mbili alfu kila nikimwambia nikuletee zawadi gan anasem chips na soda 🥺😂😂 ni huzun
2026-11-26 07:12:11
672
Eric,khan Manyerere :
tulio hesab n mm tu au kuna mpuuzi mwenzangu nae kahesabu🤣
2026-11-27 06:10:49
219
mrnicktz :
Mi ningezianua kabla ya mvua😂😂
2026-11-26 16:34:42
153
❦ఌ︎ :
ivi nimimi pekeangu sipendi kuvaa chupi napenda tait jmn sina chupi hata moja
2026-11-29 06:14:11
2
mjeshi OG :
Ambao hamjazi hesabu zipo 15 😂😂😂
2026-11-26 16:34:47
104
janelle :
ndio maana skuhizi watu wanahangaika na uzazi .. tatizo linaazia huku tunashindwa kujilinda wenyewe,,
2026-11-26 13:24:25
90
pretty tii :
nani aliyesoma comment kwanza then karud kuhesabu chupi zipo ngapi ukuje apa
2026-11-27 13:12:17
29
filaun :
wangapa tumezihesabu
2026-11-26 07:00:06
53
Alima Saidi :
uyu Mimi kabisa
2026-11-26 12:05:41
26
Abõu Jr :
Kazianika vzur by ascending order
2026-11-27 08:24:15
0
Immanueli Mrruma :
Mbon sione cheupe jmn
2026-11-26 16:34:04
13
Mrs Muuh. :
Me jiran yangu Hua na mwambiaga aniletee chips man yeye ni dereva Balaji Hua anachelew kurud nyumban wakat wa usiku,shida akishaniletea nikitak kumpa hera yake anakataa kupokea sjuw shida nin? guys 😳😳😳😁..
2026-11-26 11:22:52
12
Ruuh cute 26 :
mbn kama zangu izo😂😂😂
2026-11-27 07:46:17
1
Cno ovierra 🇺🇸🇬🇧🇫🇷🇦🇹 :
zipo 15 😂😂
2026-11-26 13:11:54
6
frank :
mm nazitoa hata kama hakuna mvua akija nimpe
2026-11-26 10:55:22
14
OMARY TVS CENTER :
15😎
2026-11-28 17:52:55
0
mariam :
huyo ni mm kabsa na ukiona nimefua jua nimebakiza mbili namanisha niliyo vaa na yakuvaa baada ya kuoga 😂😂😂😂
2026-11-26 13:18:00
11
Sam🛠️ :
tuliohesabu tujuane😂😂
2026-11-26 09:27:27
8
Elizabeth :
2026-11-28 10:16:09
0
emmysaid355 :
mm nimehesabu zipo16
2026-11-27 08:53:07
0
Man Jo :
naomba mvua ikuje
2026-11-29 03:58:59
0
hasani bakari :
sw kk
2026-11-28 12:55:31
0
Rayzoni Mruke :
bluu
2026-11-28 12:57:46
0
💯😛😛6868 :
bei
2026-11-28 06:20:52
0
🕸🕸🕷🕷Uvulug£h w@ D££p🪳🪳🪳 :
tunaoxem 16 tujuane
2026-11-27 13:40:08
1
To see more videos from user @mandova13, please go to the Tikwm
homepage.