@dj_six_fingers_:

Dj Six Fingers
Dj Six Fingers
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 17:11:11 GMT
2316
305
54
5

Music

Download

Comments

therealson2
SAMSTUDIO :
kama kweli nyie mnamiliki kazi za wasanii kwanini hao wasaniii wasiachee kuwekaa moviee zao YOUTUBE.. then kwasababu mmesema nyie ndo wamiliki mkawa unaziuza nyiee na Wasanii hao wakawa wanafaidikiaa kupitia nyinyi Umoja movies...????
2026-11-25 18:54:08
4
shalomthadeo1
🕴️funnypersonal🇹🇿🏆 :
Kwan haujui kila movie ili fanya vzul library ndio watu wanaanza kuifatilia weng
2026-11-26 06:59:00
1
mwanza159
officialEliace🤳 :
KAKA HAPO UMEELEWEKA MWENYE UELEWA ATAELEWA
2026-11-25 17:29:52
3
dunga_library
Dunga_gaming & library :
zile computer mnzo kamata kwa watu a library huwa mnazipeleka wapi?
2026-11-25 17:31:30
2
francismovies24
Franc🎞▶️ :
kama ni hivo wasanii wasiweke movie youtube wawauzie umoja movies tu maana kama movies wanapeleka umoja movies mara nyingi tunazipata movies ambazo wteja washaziona yotube
2026-11-25 18:06:45
1
isackmsanda
Isack Msanda :
Mbona sword god your tube haipo
2026-11-25 19:27:17
1
juhudymoviestore
JUHUDY MOVIE STORE :
Mimi nachukua movie umoja movie je kama Nina library 2 mnanisaidiaje ofis ya 2 nimeiweka kama bakapu hainipi faida maana location 1
2026-11-25 20:54:47
1
mood.rion
MUDRIC SIMBA :
lkn naomba mdili na app zinazoiba movie maana movie zakizungu huwezi kuzikuta hovyohovyo kwenye AP zakijinga na kingine mpambane kwanza nahilo uone kama yatatokea hayo
2026-11-26 08:14:33
0
josephsimbili1999
@jaymir :
movie ukidownload kupitia Vidmate automatically inahesabika kama umeview especially kama umelink account Yako ya YouTube na Vidmate
2026-11-25 20:13:04
0
philihdmovies
philihdmovies :
kinaa nani wameerewa kina nani wataje nalisiti kama 35 za umoja naukipiga hesabu ni 525000 na mi niliahidiwa kibali cha utamaduni nitalipiwa ila sijawahi kulipiwa na utamaduni walifunga nikalipia mwenyew tena kwa kukopa sa mi sina mkataba na mtyu yoyote kama tumeandikishana sehem tuambiane
2026-11-26 07:12:47
1
kassimbory
kassimbory :
kwahy unatushauri watu wa library tuachane na YouTube kabisa!!! tu deal na "umoja movie" ..maana hatutaki kupambania na wenye nguvu sisi
2026-11-25 17:54:37
2
ashirafujr32
👑power💪 star💫1 :
mimi nakubali sana hatamimi maranyingi naangali on line kwenye canneli halisi kwakuwa nawakubari siachi ata tangazo lipite razima niangalie nahojayako inaeleweka kaka
2026-11-25 18:01:10
2
bigseven_drc
bigseven :
DJ wangu uyo
2026-11-25 21:41:02
1
intruders.nm
intruders :
mbona hamsemi kua agent wenu wa mkoa wasipotoa risiti za efd tupo salama ama tutakuja umizwa tunaofuata utaratibu ???? na hamsemi turiporti wapi?
2026-11-25 22:22:52
1
patrickandrea406
PEOPLE :
ntakuwa naangalia
2026-11-25 20:32:06
1
therealson2
SAMSTUDIO :
Na kwanini mnatumiaa nguvu sana watu wanunue movies kupitia Kampuni Lenu.. Tanzania kuna makampuni Mangapi na kila kampuni lina wateja wake bila ku force watuuu...???
2026-11-25 18:58:01
0
therealson2
SAMSTUDIO :
sasa kama nyie mnamiliki moviee mbona hao wasanii wanawekaa movie zao YOUTUBE...?
2026-11-25 18:50:36
1
therealson2
SAMSTUDIO :
je wasanii wa nje wanafaidikaa vipi na nyiee Umoja moviee maana mnavyodai nyie ndo mnamiliki kazi za wasanii ndani na nje....?
2026-11-25 18:59:15
1
makmakhado
MAKHADO :
2026-11-25 22:21:20
1
k6gmail.com2
Legend💯🔥🫆 :
swali linakuja je kwa madj wanao uza nje ya umoja movie mbona hapo inakua lugha ngogana nyie kw nyie hamna msimamo ndo nini af unakuta movie moja madj zaidi ya mmoja ndo nini afu mkiambiwa ujuaji mwngi ni swali la muda
2026-11-26 11:34:45
0
vicentmrdolephoneaccesso
vicenthizzamrdole2pu :
umeongea points,,kuhusu ma DJs ambao hawapo umoja Masada n nini kiongozi?
2026-11-26 08:39:39
0
coolest_mwaisa_255
coolestmwaisa_🇹🇿 :
kwanini msifanye kama netflix mnanunua kazizao then nyie ndo mnawauzia wa library kupitia mifumo yenu na wasanii wasipost youtube
2026-11-26 11:54:07
0
djjoahtz
dj joah tz :
sasa mitaji ya watu mnachukua ya nini mhitishe mikutano muwape utaratibu bx atakae pinga uyo mumchukulie hatua muache vijana wafanye kazi jamani muwape utaratibu
2026-11-25 21:11:57
0
yohana.mahuka
Yohana :
Nina Maswali. 1.je Zile Season ambazo zimenunuliwa zamani kabla ya Umoja Movie 🎥 kuja kwanini Mnazichukua wakati ni zazamani na Hana Risiti zake Sababu zamani walikua hawatoi Risiti 2.kwanini mkienda Library mnachukua Machine nzima kama mmiliki wa Library ana Pakej zenu si mnazifuta tu au mnachukua HHD sio kuchukua Machine nzima. 3. Mfano mmiliki wa Library akitoa package zenu zote zinazohusiana na Umoja movie 🎥 distribution na kubakiza za Ma Dj wengine ambao hawapo Umoja movie 🎥 distribution hapo kina Kosa? Sababu mmiliki wa Library ana leceni ya biashara ana kibali au Leseni ya Kosota bodi ya filamu ila Hana kibali au Leseni ya Umoja movie 🎥 distribution akaamua kutoa package za Umoja movie 🎥 distribution ili akipata kibali au Leseni ya Umoja movie 🎥 distribution ndio azirudishe Kuna Kosa?. 4. je akiwa na Vibali vyote na Leseni zote ila Bado hajanunua movie au season yeyote Bado kutoka Kwa Wakala wa Umoja movie 🎥 distribution inamaanisha Bado Hana Risiti za EFD. je ule mzigo Uliopo Library kwake una Makosa?
2026-11-26 08:00:25
0
beliver180
poor me 😂 :
kwan mbona mmekimbia dar mkuu?🙄😂😂
2026-11-25 17:19:12
1
To see more videos from user @dj_six_fingers_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About