Sina cha kuongea daktar maana dyalisis ndio maisha yangu.usiombe yakukute
2026-11-25 20:18:45
13
Dr.loveness :
fanyen matibabu pesa ina tafuta ila uhai aununuliw tena akisha peteza maisha
2026-11-25 20:23:00
5
Stivoo. :
nyie mnawaza ela tu hamuwaz kusaidia ban
2026-11-25 22:02:16
2
nmg_ :
vijana punguzeni sukari punguzeni bidhaa zilzobeba chemicals ndani yake hususan kwenye vyakula au vilevii Iwe pombe au sigara au chochote kile chenye ulevi na kunywa Maji ni muhimu tena kwa wingi
2026-11-25 23:25:43
3
Dotto Paul :
tunakuelewa san kiongoz lakin tunaomba ushauli ili tuepukane na vitu ambavyo vinaweza kuwa hatarishi katk maisha yetu
2026-11-25 18:04:03
1
FUNDI RANGI :
hizo mashine lengo kusaidia watanzania au kuwakomoa maana watanzania wengi hawawezi hiyo hiduma
2026-11-25 18:19:47
4
DidaOg :
Mungu wape shufaa viumbe vyako nass wengine tunusuru baba na hili janga😭😭🙏
2026-11-25 22:19:56
1
DD 🇹🇿 :
Dr mi Nina swali moja
2026-11-26 07:03:08
0
mwamini♥️ :
tusaidiyeni mweye kweli ushauri mnao ila kusaidiya mtu
2026-11-25 18:46:36
0
offical falcon :
Mungu awaponye dialysis ni ghali na inatumia pesa nyingi kinoma
2026-11-25 22:15:00
0
derick andrea :
kwani hiyo hela inaenda wapi,bila hela atibiwe??
2026-11-26 06:07:03
0
walter23@ :
nyie mnacho taka nn lakni
2026-11-26 03:33:50
0
SULEIMANI_JUMA :
ongea chapu chapu bando la 500 alikusubili wewe babuu
2026-11-25 22:09:05
0
R~££🌸🍒 :
🙏🙏🙏
2026-11-26 04:48:02
0
To see more videos from user @doktamathew1, please go to the Tikwm
homepage.