@millardayo_: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 25, 2026, amemteua Hamis Mohamed Mwinjuma, maarufu kama Mwana FA, kuwa Waziri wa Uvuvi kufuatia mabadiliko ya muundo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambayo imegawanywa kuwa Wizara mbili zinazojitegemea. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Novemba 25, 2026 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, kabla ya uteuzi huo, Mwana FA alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Aidha, Rais Samia amemteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Waziri wa Mifugo, huku uapisho wa Viongozi hao ukitarajıwa kufanyika katika tarehe itakayopangwa baadaye. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 18:17:39 GMT
Music
Download
Comments
💜miss G🌸💃 :
Samaki wamefanya uchaguzi au kajichagua mwenyewe
2026-11-25 18:22:06
70
mr_emoney_tz 💲 :
wanaendelea kuongeza mawizara ili waendelee kugawana😏
2026-11-25 18:21:59
22
kendrick :
alisoma wapi haya mambo ila Tanzania
2026-11-25 19:14:07
10
Merry🌹🌹 :
wakitaka waziri wa kulala nipo hapa
2026-11-25 18:23:12
20
Ligambaboy. :
mzee hawaelewan kabsa na kjana Dah!.
2026-11-25 18:24:03
8
Lucasmakul :
alishawahi kutega lakini
2026-11-25 18:26:08
7
ROBERT ALFRED :
nchi pekee ambayo waziri wa kilimo hajawahi kushika jembe, waziri wa uvuvi hajawahi kuvua samaki..any way Hongera Mwana Falsafa, ulisha sema kwenye nyimbo yako ya baraka nyingi " wambie wasikupime watavunja huo mzani baraka ni nyingi huwezi zimaliza wewe"
2026-11-25 18:57:32
5
Godfrey Nicolous :
kutoka kwenye HIP POP Hadi kuwa waziri ni jambo la kumshukuru mungu🙏🙏🙏🙏🙏🤝
2026-11-25 18:54:52
7
𝔽𝕣𝕒𝕟'𝕤 𝐀𝐢 𝕸𝖊𝖒𝖊𝖘 ⛎ :
bado tunaona mengi to 🤣 nikafikr mtaacha mwishon mwa mwaka kumbe ndo kwanza tunaanza upyaaaa😂😂😂
2026-11-25 18:22:34
6
Ally Kimmich :
kazi ipo mpaka atakuwa mkuu wa wafugaji
2026-11-25 18:59:33
1
... :
khaaaaaaa mbon kama nimechukia uteuzi
2026-11-25 20:55:25
1
bintisuleiman2022 :
hongera sana
2026-11-25 20:23:05
0
Filemon Amos :
natamani mechi zote za afcon hata gemu moja tusipate,,,,,,,,
2026-11-25 18:54:45
1
eliza montana :
[Pray][Pray]home boy
2026-11-25 19:27:27
0
Mama 6 :
hatimae samaki wapata kiongoz
2026-11-25 18:25:35
2
Lauce✝️ :
comment section 😂😂
2026-11-25 19:57:38
0
mashiko :
Bora ata maaaana nilikuwa nmsubili aje Morogoro 30 ya bongo frev nimlishie kopo alikuwa anachanganya burudani na siasa 🙌🏼
2026-11-25 20:36:27
0
Dickson Mkasanga :
ongera xana mwana fa
2026-11-25 18:29:34
5
Hemed Bihudi :
maashallah
2026-11-25 19:41:12
1
J$H😍 :
mziki na samaki 🥰
2026-11-25 18:42:26
4
NADO⌚️⏳️🕰 :
tunakula samaki na music tulivu
2026-11-25 18:22:58
4
Joshua Wilson :
Baraka ni nyingi hawezi zimaliza yeye✅
2026-11-25 19:21:49
2
Kija junior 🇯🇲 :
Mbona mimi sisemi kama ulisema BARAKA NYINGI KIDOGO NIMWAMBIE MUNGU AKUBARIKI..
2026-11-25 19:16:54
1
nas_empire :
Bona sanaa na michezo alikuwa vizuri
2026-11-25 18:44:52
2
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.