@luckiussengo:

dsl
dsl
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 25 November 2026 18:33:20 GMT
47732
2173
201
184

Music

Download

Comments

cowboy.www
choir master :
infinix yangu nilimtumia sms mamtu nikaandika beb naondoka sms ikaenda bebi mi mandonga
2026-11-26 05:16:00
49
user4693784813362
@Lcsbb. :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] me NDOMANA nilifta ista
2026-11-26 12:08:28
0
aman_maker
aman_maker :
kwahy Itel yangu inayo pata moto mpaka napigia pasi je na sisemi 😂😂
2026-11-26 10:04:27
22
halimaakida620
Halima Akida :
Nina kaz ya kusoma mvua ya comments
2026-11-26 15:33:57
1
ochu.01
ØÇHÜ :
mimi nilishawai kua na Tecno miezi 7 haikuisha chaji ilivokuja kuzima haikuwaka tena😁🤣
2026-11-26 13:22:56
17
rosemduda701
Rose Mduda :
Tecno yangu nikiizima ukipiga inaita😁😁
2026-11-26 06:24:07
34
chinokidd08
kidd boys :
[Laughing][Laughing][Laughing] nacheka kma mazur
2026-11-26 10:43:47
1
habibu_official_09
Habibu_Torres_09 :
Me Natafuta mke wa kuoa jaman😢
2026-11-25 20:40:29
7
quality.furniture499
kambangwa furniture :
man in a zenu
2026-11-25 22:22:42
0
user3623202354600
user3623202354600 :
infinix yangu ukituma msg inafika imechoka ju inaenda ikianguka😂😂
2026-11-26 18:49:37
1
mallymonte3392_vr
mallymonte :
Nokia yangu kuna muda inapata moto mpaka inaandika joto ni kubwa likizidi hapa nalipuka
2026-11-26 14:30:45
3
brackboy2798
diallo wissi :
itel yangu ata ukizima Ina ongea tyuu
2026-11-26 06:44:37
8
naah7563
naah :
mbona mi nilikua nayo nikua napigiwa mda mwingine nasikia sauti tu halafu kwenye kioo sioni namba mbona mi sisemi
2026-11-26 08:58:21
5
emmyjwarhm
Emmy J wa Rhm👁️💍 :
😂ila Infinix ikiamua kuganda jamn kama una hasira unaipasua tu
2026-11-26 09:13:15
8
alfredjohnjohn
alfredjohn :
Infinix Kuna wakati inachagua Adi wakumpigia😁
2026-11-26 09:42:26
4
lizer4855
user55314147224 :
nilikuwaga na Tecno inazima chaji Ina 80%😅😅
2026-11-25 20:04:27
14
chio_tz
Mdogo Chio Tz :
nilikuwa tecno nikitumiwa hela inatoa yenyewe👀
2026-11-26 06:59:51
8
merry.mellah
Merry Mellah :
Me nilikua natumia Itel naishika mkononi chaji inajipeleka yenyewe na inajaaa full mbona me sisemi 🤣🤣🤣
2026-11-26 08:11:29
5
justinmkinga69gmail.com
STATUS :
Mimi Tecno Yangu Ukituma Meseji Inafika Na Vumbi
2026-11-26 08:49:09
5
talki.abdallah83
ASRAJ :
mim yang nikiwaah flight mod inataka tiketi ya ndeg
2026-11-25 20:23:29
7
anastar426
Anastar :
me nna I phone 18 pro max Haina sehem ya kuwasha data apa natumia WiFi
2026-11-26 13:31:08
1
deboraaaa570
dee💘💞💞 :
jmn mm sna hisia🥺🥺
2026-11-26 16:41:55
4
user4907558337681
Pauldaud :
mie ya kwangu ukimpgia unae mdai inasema katoka kidogo hadi nimeipasua na sasa ivi nipo Kwa fundi mtu namdai 5000 fundi elfu 70000
2026-11-26 17:41:29
1
mnimbo.3rd
mnimbo 3rd :
Infinix ndio kifaa gan jaman 😁😁😁nimetoka jela juzi
2026-11-26 10:27:00
0
johnsonmike753
Johnxon MikeX :
Mim Itel yangu ikataa kuzima data siku 3🤣🤣
2026-11-26 14:08:43
2
To see more videos from user @luckiussengo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About