@matukiodaima27: WATOTO MAPACHA ALIOWAACHA MTANGAZAJI WA EBONY FM NA MWENEZI CCM WILAYA YA IRINGA MJINI EDO BASHIRI WAPOKEA POLE KUTOKA KWA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM TAIFA MCC SALIM ABRI ASAS
ila itakua wanakula mno pombe aisee mungu awatie nguvu 🥰
2026-11-25 19:29:17
8
agusta mpangwa :
ha kumbe wakubwa hivi
2026-11-25 19:23:48
6
SMART WEAR BOUTIQUE👖👗👜 :
samhan awo ndo watoto wa edo
2026-11-25 19:17:31
3
Winnie 🥰😇 :
mbona wazee samahani msinifokeee 😳😳
2026-11-25 19:20:52
3
deelv❤️ :
baba ake kareeem na raheeem niite Eddo a.k.a baba wawili...💔
2026-11-25 19:06:05
3
Shani Mwani :
ooooh poleni wanangu poleni sana ukiwa mbaya wamekosa mama na baba …🥲endeleeni kupumzika salama Edo na Mwanahawa mmewaacha Mapacha wenu … nyieee dunia ilikua na watu hiii Endre I kupumzika salama wapendwa wetu mlitangulia mbele ya haki 🥲🥲🕊️🕊️🕊️
2026-11-25 20:18:04
1
MOMY MAHEER :
Mungu awape nguvu jmn dah
2026-11-25 19:32:48
2
Ishermatinya :
mungu awape nguvu jaman[Crying]
2026-11-25 19:18:31
2
happy junior :
daah tumehumia sana polen family yngu
2026-11-25 19:29:03
3
Theo Theo :
sema wanangu sana ila ndo daaaah hatuna namna madogo tumuombeee apumzike kwaamani
2026-11-25 19:17:57
2
Ben :
Daah😭😭rest in peace baba wawili
2026-11-25 19:02:01
3
mrs wake :
mungu aendelee kuwapa nguvu, mme Baki wakiwa ,hakuna mama wala baba, inauma sana pole sana.
2026-11-25 19:42:14
1
editha :
poleni
2026-11-25 19:46:24
0
jackiestlysh :
mmmh
2026-11-25 19:23:22
1
CL@# :
Jamn wamekupa Haw watoto duh saiv wamekua wababa kabisa mwee😢
2026-11-25 19:54:04
0
shy🌹❤🌹 :
ma classmates jaman polen sana karim na Rahim mwenyez Mungu awatie nguvu. so sad 😭😭😭
2026-11-25 19:48:10
0
Winnie 🥰😇 :
eddo kazaliwa 1969
2026-11-25 19:41:47
2
Tamasha Chalamila🫀❤️ :
Poleni
2026-11-25 19:31:00
1
chriss li🌹🌹 :
polen wakina kaka
2026-11-25 19:44:01
0
Moudy kindole :
mnyalutanana Ahele dah hii ngum kuamini😭
2026-11-25 20:15:41
0
Bianca❤️ :
Polen sana 🥺
2026-11-25 20:17:26
0
😥😥 :
legancy muhimu wazee
2026-11-25 20:09:34
0
Colethpaul :
😭😭
2026-11-25 19:57:13
0
EDDY JR 🦂🦂🦂 :
naona tajiri asas yupo hapo
2026-11-25 19:46:26
0
A :
2026-11-25 18:37:53
1
To see more videos from user @matukiodaima27, please go to the Tikwm
homepage.