wizi mkubwaa nchini kwetu umeingiaaa itabidi 2ache waangalie wenyewe
2026-11-25 20:57:57
1
JUNIOR JOHNSON :
huo ni wizi mnafanya 😂😂
2026-11-25 20:46:00
1
@𝔾 𝕄𝕒𝕟𝕕𝕒𝕝𝕒🔵 :
MBONA SIWAONE WASANII AMBAO MOVIE ZAO ZINAFANYA VIZURI NA ZINAFATILIWA SANA, WAKIWA KWENYE HUU MSAKO.🤔 Nawaona Tu wale waliopotea kwenye tasnia ya BONGO MOVIE
2026-11-25 19:27:09
3
KAMOJAH :
hadi mmalize nchi nzima mtakua mmetimiza kupata utajiri
2026-11-25 20:33:27
0
Next Frame :
Kwani utaratibu si risiti tu ama ni leseni tena
2026-11-25 21:02:07
0
ᗷᖇᗩᐯO :
manina mkija library kwangu nawaitia kelele za wizi😅
2026-11-25 21:39:29
0
𝕄𝕊𝕆𝕄𝔸𝕃𝕀 𝕆𝔾 LIBRARY⏰ :
nataka nijue ukiwa hauna au ukikutwa na kitu gan au kosa gani linalofanya vifaa vibebwe
2026-11-25 19:09:10
0
Ksm :
ka zuzwaaaa vile🥺🥺
2026-11-25 19:12:42
1
zombie one :
yan bola nichangie move za nje kuliko za bongo
2026-11-25 22:00:23
0
Ssm Nexus :
Kwahy madebe kesi ni kununua kwa wakala tu au kuna kingine
2026-11-25 21:42:01
0
djwhite scratch master :
sasa kwanini mnaziweka YouTube
2026-11-25 20:54:52
1
Siddy Coman🇹🇿 :
mbna hamji kwangu muone
2026-11-25 18:56:57
0
badface :
msanii atakae kuja aje afute movie yake apiteiv kila mmoja aje kwa mda wake mana hamkutumwa mueke yutube
2026-11-25 20:52:47
1
pk :
hebu nielekeze jinsi ya kufata utalatibu kaka
2026-11-25 21:12:26
0
Maganga Birangu :
wewe una movie gani
2026-11-25 21:08:36
0
katikisita 📸✅🏥 :
kumbe ni huko huko
2026-11-25 20:51:16
0
Hassano :
Sisi wauzaji hatupingi wasanii kunufaika na kazi zao tunachohitaji ni mfumo rafiki wa kibiashara Kama movie mnaziweka YouTube na bado mnataka tuzinunue ili tuziuze basi tuwe na utaratibu wa kupata nakala rasmi kidigitali kwa bei ya jumla Sisi tunahitaji kufanya biashara na nyinyi pia mnahitaji kunufaika Tusitengeneze mazingira ya kuumizana wakati tunaweza kushirikiana na wote tukapata faida
2026-11-25 19:45:40
0
fabrice001 :
ninaflahi sana kwa kazi yenu madebe fikeni katavi kaka ninawangoja kwa hamu mtuwekee mazngra mazuri kaka
2026-11-25 22:47:19
0
Geofrey Joseph :
natamani niongee kwa voice ili nieleweke ila kiufpi ni kwamba kwa ushauri wangu nyie UMOJA move mngetengeneza group la UMOJA move ili kila mwenye lablary ajiunge na anapo jiunga tu akutane na masharti au utalatibu wote anavyo takiwa afate ili kuepuka na usumbufu kama huo:
2026-11-25 19:10:58
0
Baraka Makula :
wewe ni msanii mkubwa sana mzee hukupaswa kuongozana na hao wakaguzi mzee mbna Akina gabo,manyanya,stani bakola kina kitale wapo kimya maana hawana njaa pia wanalinda bland hiyo kazi wachie police
2026-11-25 21:39:14
0
NYANDA JULY LIBRARY :
lengo lenu Lina husu nini
2026-11-25 19:30:45
0
fabiansky :
utapelii
2026-11-25 19:48:50
0
LAM3CK :
za kizungu zinawahusu nini
2026-11-25 19:00:29
0
To see more videos from user @madebelidai, please go to the Tikwm
homepage.