ki uhalisia video zako ngumu sana lakini Al'hamdulilah nazipata vizuri
2026-11-25 19:19:51
0
Sally rhythm 34 :
Kuna sauti ukishazifanyia maamuzi na kugundua kuwa ni chaka, utakuwa makini
2026-11-25 19:28:38
1
jey :
Sasa tunawezaje kuzijua dada
2026-11-26 17:05:07
0
KEMI :
kweli kabisa dada mim yalisha nipata nikuomba sana Mungu atusaidie 👏👏👏🥰
2026-11-26 13:45:31
0
Tito :
nakuelewa vizuri saana
2026-11-26 15:38:28
0
cady101 :
@cady101:Apo kweny Roho lazima matokeo yake yapimwe na kuipima cio ndan ya masaa wala siku inaweza mwezi au ata miaka Kwa jinsi ulivoitikia. It's likely kama ushawahi jiuliza maswali magumu( au wengin wanasema maomb au kufungua) nilianza kuelewa mda ambao nshasahau kama niliwahi jiuliza but apo katikati kuna meng sana unaez dhania kuwa ndo majibu enyew.
2026-11-25 21:19:32
0
To see more videos from user @sallyomearien34, please go to the Tikwm
homepage.