tupe aya shekhe ilosema bhangi haramu wallah naacha niliskia aya
2026-11-26 10:49:41
4
SANCHO🛫 :
tupe ushahidi basi nani kasema?
2026-11-26 12:27:45
2
Dåbiøs :
saw tuach na bang yetu shekh...
2026-11-26 15:58:37
3
time to tell :
sura gan na hadith gani
2026-11-26 16:35:24
0
Muhammad Dida1670Dida :
ata kwa katiba ni haramu pia sheikh
2026-11-26 09:39:11
1
MAAJA STORE :
Me natetea
2026-11-26 07:10:13
0
sameerparkar31 :
Sasa shekh unatamba kusema bangi ni haramu kwasababu serekali pia imepiga marufuku, je pombe siyo haramu?? Mbona hukemei kusema kwa ukali kwasababu serekali inapata ushuru kwenye pombe!
2026-11-26 17:24:58
1
ADIL'S CLASSIC :
sigara na pombe halali?
2026-11-26 14:54:13
0
BOSS KUBE :
kitabugani kilichoandika bangi alam
2peushaidi shee tupeushaidi
2026-11-26 14:23:06
2
Salimu Halima :
Allah akupe kila la kheli shemeji yangu, unaongea kwa hisia kali, n
2026-11-26 07:01:53
5
𝕤𝕚𝕞𝕓𝕒 𝕔𝕒𝕥 :
Mbonaa Me sisemi
2026-11-26 13:02:27
2
TALISKA ABDULIKARIMU :
kweli xhee me naacha kuanzia leo 🙏🙏🙏
2026-11-26 08:23:11
2
mtoto wa mommy 12 :
sasa huyu side unaniskiya
2026-11-26 03:39:50
0
DE CATTO 👑🤡 :
Huyo mwanetu kabisaa
2026-11-26 13:13:06
1
young colly :
achaaa bass
2026-11-26 17:47:38
0
Mou BATali :
waislam takbirr🥰🥰
2026-11-26 17:48:22
0
Ally :
kwakweli shekh
2026-11-26 17:51:30
0
wizbagy⛽️ :
Mashaallah🤲🤲
2026-11-26 18:08:19
0
user8808508267661 :
nikweli
2026-11-26 12:21:03
0
GUNNA 😎 :
Imeandikw wapi kweny kitabu
2026-11-26 15:35:03
0
broken alone :
sitii neno mie
2026-11-26 14:57:20
0
Samsoni Laizer :
2026-11-26 17:14:19
0
Mkapvema 💪💪 :
Mbona Mimi Sisemi
2026-11-26 16:47:00
0
user4680146069504 :
hapo umetupiga mzeee umesema vby
2026-11-26 16:31:58
0
Ally Lechui :
kila kilichokua hapa kwa dunia kina sababa
na kila linalo fanyika lina sababu, Hakuna kisichokua na sababu. Asalm alykum ndugu watazamaji.?
2026-11-26 17:22:42
0
To see more videos from user @jannah_islamic_media, please go to the Tikwm
homepage.