nimegundua masheikh wetu kina walidy kina mziwanda nk wanachukiwa kwa kutunasua sisi maamuma tujitahidi kusoma vitu elimu pana sio mpaka tukimbilie kwa waganga na watu watulie hela zetu mm nimejaribu ile ya bsmillah 786 wallah naona njia sasa
2026-11-26 08:02:21
0
Musa75% :
بارك الله فيك
2026-11-26 04:49:19
0
abdillahi jumanne :
vp mlishajaribu kuwafuata wahusika muwazindue au munawakejeli tuu,kama hamjawafuata basi mnamapungufu makubwa ya kida'awa mnahitaji mfundishwe kanuni.
2026-11-26 09:43:54
0
abdillahi jumanne :
ciwatetei masufy lkn walimu wa mwanzo ktk Sunnah waliteleza ktk kuwalingania kwa kuwa nao walikuwa ni Binadamu nanyi mkafuata bila kutafakari.
2026-11-26 10:03:18
0
To see more videos from user @manhajsalafitv, please go to the Tikwm
homepage.