Hii taarifa tunaomba ifanyiwe kazi na ikiwezekana na jumuia ya Africa mashariki. Isipuuzwe. Bob Marley aliwahi kuimba, only your friend can reveal your secret.
2026-11-26 07:43:33
15
user193718335750 :
pole bro.
are you Dhulbahante?
2026-11-26 08:30:25
1
Regina Manaha :
huu ni ujumbe usidharauliwe uchunguzwe
2026-11-26 09:56:34
10
user3141151802333 :
Pole sana Baba sisi tunahakikisha tunalishughulikia hilo
2026-11-26 07:30:25
1
munnaali :
lete evidence
2026-11-26 18:42:15
0
Safia Yusuph :
Waw uko sawa BABU
2026-11-26 09:34:46
5
michaelkavishe8 :
Tunachuklia poa ila hii sio content police kueni siriaz na hii point
2026-11-26 17:53:11
2
Peter Karanja :
@Kenya Police Media coordinate with your Tanzania counterparts
2026-11-26 10:10:40
1
selijusi malambo :
Asante Mzee acha wakudharau lakini ujumbe umefika
2026-11-26 21:27:50
0
Mamy Hussein Ahmedy :
pole sana awow
2026-11-26 12:25:08
1
yussuf mohamed :
wewe ni mkenya au ni wawapi
2026-11-26 22:01:05
0
Doc karim :
You
2026-11-26 21:49:18
0
fredali :
pole sana mzee wangu Ahsant kwa taarifa
2026-11-26 19:05:12
0
user5681563516886 :
Taarifa nzri sana kaka asante
2026-11-26 19:38:26
0
Abdallah Shembiru :
watanzania tulivyo na dharau! taarifa tushapewa lakini mpaka litokee tukio ndio tusanuke!
2026-11-26 18:39:41
0
BABA D🇹🇿🇹🇿 :
sirikali inakaa tu kimya likitokea lakutokea watasema ni @TUNDULISU
2026-11-26 19:37:21
0
MYKThe Legend :
Intelligent isifanye mzaa na maneno ya huyu mzee. Watoke na conclusion Watanzania wajue ukweli wa hawa mambo, otherwise itakuwa too late soon😳
2026-11-26 19:33:25
0
RsR :
pole baba kwa matusi Mungu atakulipa
2026-11-26 07:04:52
0
shaky :
tena tukwambie tutadili na ww ss watanzania atuna chuki na wafrika wote yeyote akija apa ana karibishwa kama nyumban
2026-11-26 10:52:42
5
Senki 8 :
Acha wa kutukane
2026-11-26 16:27:39
0
ASSENGA.COM :
asante kwa taarifa
2026-11-26 17:47:48
0
abdulimohamedkomb :
pole sana mzee na hatuwezi kuhupuuza ujumbe wako mzee mungu hakubaliki
2026-11-26 18:18:15
0
WANANCHI DEVELOP FOUNDATION :
HILI JAMBO LINA UKWELI KWA SABABU TULIYAONA HAYA YALISHATOKEA .VYOMBO VYA USALAMA VICHUKULIE UZITO JAMBO HILI
2026-11-26 17:19:22
0
yussuf mohamed :
au wewe ni MTU wa puntland
2026-11-26 22:08:36
1
munnaali :
dining yakislamu yasema kabla huja Sema neno lazima uwena evidence kabla hujataja mtu kwajina
2026-11-26 18:43:33
0
To see more videos from user @xasancumar04, please go to the Tikwm
homepage.