@awakenedgiant1: Usishangae kuona mtu aliyekuwa hakupendi na akaamua kukuacha au kukutupa mkiwa ndani ya mahusiano, anaendelea kukufuatilia huku akiwa na nia ya kuendelea kukuumiza. Hiyo ni tabia moja inayoumiza sana kutoka kwa watu wenye haiba ya Kinasisisti. Kocha ameelezea vyema kwenye video hii kwanini jambo hilo hutokea. Karibu kwenye Awakened Giant — kituo chako cha uponyaji wa ndani, kujitambua, na kuvunja minyororo ya kihisia na kiroho. Mimi ni Kocha Kelvin, na dhamira yangu ni kukusaidia kupona makovu ya zamani, kujenga mipaka imara, na kuishi utambulisho wako halisi. Anza safari yako ya uponyaji kwa bonyeza Link iliyopo kwenye Biography. ama copy link kii ukasearch kwenye browser https://selar.com/m/awakenedgiant

Awakened Giant
Awakened Giant
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 06:41:16 GMT
1389
149
7
10

Music

Download

Comments

user5042272508627
daudi komba :
ok
2026-11-26 11:21:17
1
zuberi_mobile
official_kizuboy :
it's true bro
2026-11-26 07:21:53
1
halimaraphael426
@VEE STATIONERY 📚 :
Sasa unawezaje kuvunja muunganiko mawasiliano ni rahis
2026-11-26 09:44:29
0
ccterloved
Diana Lugola :
kweli kabisa hata mm ameanza kunifatilia kupitia binti yangu salamu haziishi lkn ninachoshukuru binti angu analitambua hili anamjibu shot and clear
2026-11-26 08:25:14
0
sausau24ofgod
Sausau24 of God :
Mbona unatuficha sema ukweli nani ni nani tuelewe
2026-11-26 07:33:00
0
hamadi.mohamed629
Mome Creative :
baada ya kuachan nae amehoji kwann ama unatak kuoa swala ambalo Sina mpango nalo au unahis nazib rizk Zak nikashindwa kumuele ila tumeachana kwa Aman tu
2026-11-26 08:08:38
0
hamadi.mohamed629
Mome Creative :
aah noma
2026-11-26 08:06:31
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About