Joh makin alipotoa stim zimelipiwa hii ilikuwa balaaa kiukweli hii ndo ngoma bora ya muda wote ya joh nadhani watu wa mwanza tulishindwa kuelewa fid atakuja na ngoma gani kuishusha stim zimelipiwa
2026-11-26 09:34:21
6
Mr pazza :
ila kwa mwanafa na jay moo umeteleza
2026-11-26 18:13:47
0
Don Mathews940 :
tumeenda sawa kwenye kila chaguoo😂
2026-11-26 13:28:22
3
Eduardo santos :
chawa mkubwaaa
2026-11-26 17:05:47
1
josera :
Mbungee roho safi sana 💥🇰🇪
2026-11-26 10:05:49
5
BODA BODA WA MBAGALA :
FIDQ anamandish👍
2026-11-26 12:25:50
5
Immalyton :
daah mwandishi humjui huyu
2026-11-26 14:36:53
1
cleverman kbear jr :
kajibu kiakili
2026-11-26 15:52:45
1
Salim Abdulrahman :
Farid Kubanda
2026-11-26 13:46:00
1
Chris_nyeriga :
uyu jamaa anajua sana afu sio mnafiki💪
2026-11-26 15:46:21
2
mr misifa :
jamaaa linajua kuongea
2026-11-26 10:49:52
2
Geofmtupori :
kwa fid q amemaliza
2026-11-26 09:18:36
2
Juma :
upo sawa
2026-11-26 09:32:58
1
Isaack Tarimo :
facts
2026-11-26 12:55:00
2
Yas_coast🎤⚽ :
uhakika ✊
2026-11-26 12:03:59
1
user45014619503817 :
smart
2026-11-26 13:54:06
1
King Diego :
Alikiba na Diamond nani unamsklza sana ? Tukizungumzia elimu ?
2026-11-26 08:49:14
2
WA FAA👑🌸🌔 :
20/20
2026-11-26 15:00:23
1
athmanweso :
faridi qubanda
2026-11-26 14:25:54
1
Smart boy :
ety mbambioo😁😁
2026-11-26 12:55:22
1
justinemaingu :
Mbunge apo umenyooka mzee kwa Fid na Joo 🔥🔥🔥
2026-11-26 10:10:57
1
happylissa :
Et mbambio😂
2026-11-26 17:25:02
0
HADIJA :
mpaka kinena kimenicheza
2026-11-26 17:42:11
0
Richard... :
Kikianguka nimaunyama ....😁
2026-11-26 11:54:28
0
To see more videos from user @bigchawa_, please go to the Tikwm
homepage.