we umebarikiwa mwili wa nguo bhnaa ngoja nivae mimi sasa naonekana kituko😥
2026-11-26 09:08:52
15
dijah accessories :
Wenye vitambi jmn hii itatukaa vizuri sana
2026-11-26 09:36:53
5
Monjo♥️90 :
bei gani iyo sameerah
2026-11-26 16:27:11
1
user28259644858 :
Pink weuh🩷
2026-11-26 18:18:17
0
swabrah🔐🤍 :
zanzibar usafr bei gan?
2026-11-26 11:50:22
0
aziza :
mi nakupenda sana dada
2026-11-26 08:01:25
3
Aaliyah staradress :
Yani sameera nimekuona unashoot jana nilishindwa kukuangalia niliganda kushangaa urefu wa kiatu wewe mama kachanga umewezaje uwiiiii kiatu ni kirefuuuu jamani
2026-11-26 09:03:58
1
Decute_rey♥️🌸 :
io brown na pink mwee[Heartwarming][Gesture OK]
2026-11-26 13:30:23
0
Rahma@kiza :
very nice
2026-11-26 13:56:12
0
user7421487862451 :
bei ngani
2026-11-26 14:49:19
0
Warda Official :
shingap kipenz zimekupendeza atal
2026-11-26 08:03:45
0
Famaira collection :
wanene wanavaa?
2026-11-26 08:51:33
0
Rumaisah@moh✨ :
nimependaa🥰bei gani hii
2026-11-26 14:56:14
0
SHAMMIE🥀🌻❤️ :
Hivi samera kwa sie ambao tuko nje ya Tz naweza kutuma pesa unakuwa unaweka mpakaa siku nikirudi ❤️
2026-11-26 11:19:00
0
Rae chavery💋 :
Bwana samira unabaruzaaaaaa mwenetu 💐💐💐
2026-11-26 12:10:58
0
SHAZUH BBY 🤍❤️🩹💞 :
hizi hills mm siwez nitaanguka lakin nguo ni nzuri mashallah 😂😂😂
2026-11-26 12:00:27
0
🥰🥰 :
Nguo nzuri ila nina mimba🥺dah
2026-11-26 09:34:13
3
pretty naah🦋 :
da Samira na iyo cheni
2026-11-26 10:24:05
0
Beauty henna :
mi nataka tatizo nipo kenya
2026-11-26 09:50:04
0
Husna Shabani :
Nahitaji hiyo brown
2026-11-26 08:32:33
0
ISRA🫦 :
bado zipo???
2026-11-26 08:23:03
0
To see more videos from user @sameerah_tz11, please go to the Tikwm
homepage.