@pemba.yetu317: PBA yetu317 🤗 Allah atuepushe na tamaa za kidunia hal ya kuana tamaa mpaka kuptliza sio mzuri Allah atuepushe nayo 🤲🏻🙏

pemba.yetu317
pemba.yetu317
Open In TikTok:
Region: QA
Thursday 26 November 2026 09:08:29 GMT
25744
828
133
204

Music

Download

Comments

shasal894
shasal894 :
wamemuonea tu walarushwa kweli hawafanyi lolote
2026-11-26 10:39:36
25
hafsaaliy
Hafsa beauty❤️❤️❤️ :
Yaan hii spital acha tu
2026-11-26 11:07:25
1
dogoliy_001
dogoliy🧢🩺 :
mnajuwa uchungu wa kusoma Dr nyiny miaka 6🥹🥹
2026-11-26 12:31:31
6
abdallahdullah268
abdallahdullah268 :
Mmemuonea tu Wangapi wanafanya zaidi ya hvyo.
2026-11-26 10:41:43
5
zenaty65
zenaty :
elfu 50 hamuoni ata haya kuna watu wanakula rushwaa tena kwa kudidimiza watu
2026-11-26 11:38:45
6
bintnassour
Mzanzibar :
Mmemuon yeye tu jmn mbn hivo 😭😭😭
2026-11-26 11:07:47
2
tetuu53
Tetuu :
em ifute usimkumbushe mwenzio machungu kesi ishapita zamani🤲
2026-11-26 11:40:19
3
mamy.luu50
mamy luu :
aakaah
2026-11-26 13:52:02
1
whydahkids_wete_jadida
WhydahKids🇪🇦🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿💎 :
Tusiwe na huruma na watu...
2026-11-26 18:38:58
0
user52579018685378
issa kingi :
hata viongozi wingi wame wekwa kwa rushwa bazi
2026-11-26 10:39:17
2
shurufubinshuruf
shurufubinshuruf :
wema umempoza watuwengine c wakuwapa msaada
2026-11-26 18:26:04
1
lujay40
lujay :
yaani ifike hadi wagonjwa tusionelewe haruma mana madaktari na wauguziii tunakuwa hawana shukrani nao just iyoo ni gift tuuu ya kuprecipitate
2026-11-26 19:09:18
1
user883019927
user581656560704 :
Daaaahhhh
2026-11-26 11:56:03
1
asbah410a
Fix :
Munafanya huduma tusipate kabsaa maana kwa mkoani hilo jambo la kawaida 🤔
2026-11-26 11:29:03
2
zuu.soud
Zuu soud :
munatonea wajawazito akiekewa damu chupa moja ataambiwa alipe chupa 3 za damu😭😭😭😭
2026-11-26 12:31:04
1
sadhahaonlineshop
sadhahaonlineshop🇹🇿🇦🇪 :
Ah
2026-11-26 13:10:53
1
enamohd198
Ena Mohd :
tobaaaaa ☺️
2026-11-26 11:52:13
1
cute.tuma94
cute tuma😘 :
Jamani 😭😭😭
2026-11-26 11:02:19
1
lasmailiya
lasmailiya :
ivi kweli watu wa rushwa hamjawaona wanaobeba mamilioni acheni kumsumbua uyo dada
2026-11-26 14:37:01
1
ashleysher91
Ashkiee cute91🥰 :
mmmmh
2026-11-26 13:06:49
1
dawee657
Dawee :
jamni kwel hiyo
2026-11-26 11:32:58
1
hamil.hassan1
Hamil Hassan :
mtihan wa nn
2026-11-26 10:33:07
1
cute_merina
Maryam Hemed :
hizi nd kesi utazikuta zaeca😆 kamwez huez kuta kesi ya mabilion ya pesa utakuta kes za elf 50 au laki
2026-11-26 11:32:08
2
user7042268710307
Vampire :
vitu vdg 2 hivo wamemuonea ndg yng,clasmet wng
2026-11-26 10:56:05
2
pemba.yetu317
pemba.yetu317 :
mthan
2026-11-26 09:09:43
0
To see more videos from user @pemba.yetu317, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About