@geeymo: #creatorsearchinsights #alixmiamiswimsuit

Geey Mollel influencer 🧠
Geey Mollel influencer 🧠
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 09:14:09 GMT
54506
4250
249
72

Music

Download

Comments

call.me_fanuel
yD 🇹🇿 :
Mbona wadada continuous hawatutaki sisi washkaji wa First Year
2026-11-26 18:20:26
20
coolbroski..1
୬୪么coolbroski ズ. :
Ongea haraka Nina assignment 😂
2026-11-26 17:49:14
33
thomas.robert62
PRINCE TR :
continous kwa kiingereza ndo nn?
2026-11-26 13:25:13
36
user3346612361623
fayth :
awa watoto wakienda chuo wengi wanakuwa wageni kwaiyo mtu akimtongoza anajua kapata KUMBE kapatikana mim nipo kigamboni na miak zaid ya mitano nishamaliza chuo ila Cha ajabu vijana wengi wajigamboni huwa wanajua Kila bint wanaemuona ni mwanachuo unakuta mtu anakutongoza swali la kwanza atakuuliza unasoma chuo gani au ww nimwanachuo jichanganye umwambie mim nishamaliza mda sana labda nafanya kazi aloo huyo mtu awezi kukutafuta Tena utasikia anakuambia mim nilizan mwanachuo hii kitu waga nawaza kwaiyo kipindi nasoma chuo awa watu walikuwa wanatuchukuliaje nakwann ukimwambia wewe Sio mwanachuo umuon Tena kiufupi mabint wengi wanapaswa kujitambua sana hasa wanachuo
2026-11-26 11:49:03
65
luckjz07
@starboy🙏 :
ndo unitangaze TikTok kweli😂😂
2026-11-26 12:06:05
43
mslavy_12
Ms 🦋 ❤️lavy@‼️ :
fanya chap tunakusanya kazi kesho alafu sijamaliza 😂😁
2026-11-26 20:07:09
4
influencer.one1
Influencer Tz :
Hahahahaha mbn me sisemi
2026-11-26 10:16:18
9
mastermaster2040
MASTER :
Uwe unaongea kiswahil.. icho kilugha hatuelew 🔥
2026-11-26 12:08:12
17
user8741451902573
𝑐ℎ𝑎𝑠𝑡𝑖𝑡𝑦 𝑑𝑒 𝑜𝑔 :
ety continues ndo aknani?
2026-11-26 11:36:31
6
ackiiee007
°•.ᏗፈᏦᎥᎥᏋ•° :
MBONA WE ULINAMBIA UNANIPENDA MI SISEMI.....???
2026-11-26 13:44:45
15
user545961349614
DJ sai@tz :
dah! mbna me nmenyamazaga lakni 😅
2026-11-26 11:48:38
6
officialdjmisso
Female_DJ CIANA🇹🇿 :
mimi kunamtu apo SAUT Kanambia eti naringa kisa nimemkataa
2026-11-26 17:41:40
0
christianjohn230
Chris JJ Magege :
hii ni kiswahili gan guys 😅
2026-11-26 18:17:14
0
elbarikfredy
elbarikfredy :
mbn me sisemi 🤣🤣 kama hii ni story
2026-11-26 18:32:54
1
user6353853257682
Isaackepi :
mi sio mtanzania ila maisha ya chuo nayajua na niliapitia uko nilikotoka nchini kwetu ila 1st year wa kike wengi wao tunakua tu binti tuzuli kama wewe hatujachoka ko kututamani uhakika mwenyewe nilikua nao kama 3 ivi sema sikuwa na muda nao nilikua na deal zangu nyingi na namba zao zikapotea ila kiufupi 1st year ni ma binti wazuli hata dar hii nikiwakuta wametoka kwenye kipindi kuwatofautisha uhakika
2026-11-26 20:05:00
0
reggiebabe02
madam Gee🥰 :
mbna me sisemi 😳😁
2026-11-26 20:14:18
0
i9981013
Imani ayoub ramadhani :
uliemkubalia mbona hujamsema.
2026-11-26 12:39:53
4
luggelawrence
lewis-brown- tz :
mbona mi sisemi lkn😎
2026-11-26 14:03:59
2
user815206344413
john :
j
2026-11-26 18:58:36
1
omarymaulidy666
Mr Omary :
Sijui n mm tu sijaelew au tupo wengi
2026-11-26 13:39:22
4
elizabethboay8
Lady Lizzy❤️❤️ :
hakuna continuous kuna continuing students
2026-11-26 19:46:37
0
olaah34
olaah :
mbona me sisemi dah
2026-11-26 17:58:06
2
terencwere
Terenc Were :
sas mbon ujatoa majibu sahh
2026-11-26 12:47:13
3
user7565275159275
winneee :
Kwann weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-11-26 14:33:39
2
rortizbob45
rortizbob45 :
maana ya
2026-11-26 12:07:33
3
To see more videos from user @geeymo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About