kabash :
mke lazima atazame buttons za Shari kma umezipanganisha,check before wife waiving to husband saying bye ,luv u,take care....mke ndyo amechoka,labda pia watoto bdo wachanga,wamemkera,mum Kule mum kuitwa hapa Na pale,wanaume waelewe pia,nyinyi Na acheeni umbra,udaku,wapendanayo ndio wanaelewa kiatu inaambaana,pia labda hali kinyumbani syo swa,kma la kwako,pia huletwa Na bwana kubaniaa,mwachie mke mara Kwa mara Hela za ziada
2026-11-26 20:36:18