@zahmid_tz: Kina dada wa kiislamu mnao kwenda na fashion na mitindo ya uvaaji Kuna ujumbe wenu hapa ✍️ #islamicvideo#islam#islamic#mawaidha#viral ✨ Zahmid tv, Ulimwengu wa kiislamu 📖 Elimu, mawaidha, darsa na mafunzo ya dini Yako. ✨ Fuatilia ukurasa huu kila siku, upate maarifa yatakayoongeza Imani yako. ⭐Follow ⭐ @ulimwengu_wa_kiislamu