@yasiningitu: Mama la Ilala la Enzi hizo, baba akimamatwa hatoki 30 ya BongoFleva Dar - Kahama na ndege safari fupi: Stori za Shila kuhusu Mama wa Ilala wa enzi hizo! Wasanii hao ambao walionekana kucheka kutokana na story hizo, watafanya show ya miaka 30 ya BongoFleva Kahama Ijumaa hii September 27, 2026. Imeandaliwa na @yasiningitu
Yasini Ng’itu
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 09:46:29 GMT
Music
Download
Comments
Dr. Meku 🇿🇼 :
😅😅😅😅😅 Daaah, apple lilikuwa linafuatwa Imalaseko Posta, au Kamata supermarket ile ya Kariakoo, EEEENZIIIIIIIIII HIIIIIIIIZOOOOOOOOOOOOOOOO😅😅😅😅
2026-11-26 11:43:21
75
Fey cute 🦋❤️ :
Nmeiludia Mara kumi kumi jamaa anajua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-27 05:46:55
30
Man_africa :
me ndo maana namuulizaga father uliweza vip kujenga
2026-11-26 11:37:13
56
@juju :
Kwel jmn apple yamezagaaa saiv
2026-11-26 11:40:45
12
S_Yildirm ♌️ :
Hao ndo wa mama wa pwani
2026-11-26 10:57:48
14
masterpiece🦋 :
Na yupo kwenye ndege😂
2026-11-26 12:48:19
39
mikaya :
ha ha 🤣🤣🤣 shiler hajawahi kusema uongo
2026-11-26 12:42:30
26
magrethmbise495 :
kwani hii ni gar gani jaman
2026-11-26 19:25:18
8
🌍 :
n ndege au basi?
2026-11-26 12:18:10
9
Mudy Salum :
Kama uongo vile kumbbe ndo ukweli.
2026-11-26 12:14:01
17
Jacob kulinga Jacob :
SHILA iyokweli kipindi ichio chatunda la Appel I leki you stores kept up god bless you
2026-11-27 21:15:50
0
kipugi juma :
Kipindi hicho
2026-11-26 11:16:34
16
Quinn🇨🇦_007 :
Enzi za juice ya Ceres 🤣🤣 kitambo iyooo
2026-11-26 13:16:12
9
#AƁOÙĤ TŹ :
special order
2026-11-27 03:31:42
0
appy 511❤️ :
jin zuhuraaaa
2026-11-26 18:45:33
1
mary wallet💴💰 :
ilala mitano tena😂😂😂😂
2026-11-27 19:37:56
3
Kishoke Jr⛎ :
kwa macho yangu😅😅😅
2026-11-27 07:54:43
3
Frorry :
abraham😁😁😁😁
2026-11-26 12:05:27
5
🎀𝓜𝓘𝓢𝓢 𝓘𝓢𝓣𝓐𝓝𝓑𝓤𝓛🎀 :
Ndaniiiiii tuuuuuu
2026-11-27 14:41:33
1
Mrs jr backup :
kipindi icho😅😅
2026-11-27 00:04:40
0
Cate✨🖤 :
Kanikumbusha mshua alikua ananunua apple Imalaseko posta huko ☺️
2026-11-26 21:50:54
2
Noah :
Bahari ya Dodoma
2026-11-26 19:55:17
2
Mama Kido :
Mzee wa mastory nomaaaa😂😂
2026-11-26 12:44:23
2
S_ucre🇰🇪 :
...🤣🤣🤣 shabiki. kutoka Kenya
2026-11-26 19:30:07
3
To see more videos from user @yasiningitu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.