@methuselah.bimbiga: Kuna siku mavuno yatakoma kabisa. Baada ya hapo, haitakuwa tena nafasi ya kupanda wala kubadilisha matendo yetu, bali kila mmoja atasimama mbele za Mungu kutoa hesabu ya maisha yake. Usisubiri siku hiyo ndipo utambue umuhimu wa wokovu. Wakati wa kutubu na kumtafuta Mungu ni sasa, kwa sababu siku ya hukumu itafika bila kujali kama tumejiandaa au la. #SikuYaHukumu #Wokovu #TubuSasa #NenoLaMungu #YesuAnakuja