@abumapunda:

Abuu Mapunda🇹🇿
Abuu Mapunda🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 10:24:18 GMT
29656
3435
113
71

Music

Download

Comments

remmybushiry
dear mama🤱💕 :
ambao hatujaelewa kama mimi tuko wapi
2026-11-26 10:39:45
69
mydarling.taurus
Mydarling Taurus ❤️🔥 ♉ :
Kiufupi usiharibu kiwanda kwasababu ya bidhaa
2026-11-27 11:19:55
23
donyally575
Dony Ally :
siweziokoa mtoto wababamkwe naokoa wakwangu
2026-11-26 16:55:08
16
faza.bruno
Bg Bruno ✌️ :
WAISLAMU WENZANGU TUSIACHE SALA🙏
2026-11-27 10:52:43
12
walibransabuildersgroup1
Walibransabuilders&SangodSpare :
ASANTE sana kaka Mapunda Mahubiri ya leo ni Ya Kwangu kabisa🤗
2026-11-28 09:19:16
1
user2128286137962
Nelxon :
Kabixa kama mtoto mtapata 2 ila kupata mke wa kukupenda tn ngum xana
2026-11-27 09:59:46
5
gigomarshmello0108
gigo marshmello 🦅🦇🦉 :
😊😊😊 Ongeza hapo tuna okoa shamba sio mbegu
2026-11-26 10:53:31
31
zonnyboy068825
mr bomba sticker :
abuu leo umeniachia njia panda kabisa
2026-11-26 11:11:14
17
hitlerbrown_454
hitlerbrown_454 :
ah sjaelew kabs bro nifafanulie
2026-11-26 10:31:15
2
bigbaba62442
BIG BABA 🚀 0.6 :
points 👉
2026-11-27 16:28:03
0
noeazy_jr
Kijana Msomi🇹🇿 :
hapa tunaokoa kiwanda, bidhaa itatengenezwa nyingine
2026-11-26 12:43:21
10
user9539716639845
Ree :
Ndio maana sisi wa kinga duka likiwa lina ungua tuna okoa paka tuh vingine atuna Shida navyo 😂🤣
2026-11-28 05:16:17
1
farooqrauuf
Real_Khalifa :
sjakuelewa kwakweli
2026-11-26 14:15:48
0
kingcade8602
kingcade :
amemaanusha katika maisha hakikisha mtu wa nje haaribu furah yako
2026-11-26 18:53:31
4
asamsozshdcj
ZAKAYO mc :
wakuondoka ataondoka na wakubaki atabaki msidanganyane
2026-11-27 00:27:31
1
bilbanho
BILBANHO7🇵🇹 :
me nimeelewa ni hivii amdbfhejsbfbwjzvabbxhwvsvxvdnfnxjwwdhhrvtvejdrbvttvdvwbskx snxbdbdcjjcrjdbxbebakx
2026-11-27 07:56:37
0
allyjr89
allyjr :
hata kwenye uhalisia wa mke na mchepuko okoa mke broo ✌️
2026-11-26 14:05:59
3
fromyourcontact414
Duma 🍏 :
Aah mapunda leo umepita mtaan kwangu kabisaa 😁😁 😁
2026-11-26 15:02:08
2
user3938727833348
Andrew55 :
Utakuta mtu hajaelewa hapa code ya kiume hii🫡🫡
2026-11-26 16:33:47
7
bethuel7500
Bethuel :
Na bora kweli kuokoa shamba maana mazao utayapanda upiya
2026-11-27 08:29:48
1
shafiibenedictor0
shafii MB :
Ambao badoo hatuelewii dundoo tujuanee😂🤣🤣
2026-11-26 15:10:25
1
allylukoo
Ngwalu jr :
V/ ngunguti sweet home
2026-11-26 12:32:22
1
athu5521
athu :
cashout
2026-11-26 12:10:20
1
phanikisesa
Phani Kisesa :
hii noma kaka🔥🔥🔥
2026-11-26 10:28:02
1
mamakonde3
￶💖￶💖MAMA KONDE💖💖 :
abu watakufunga ww haya😂😂😂
2026-11-27 16:11:24
0
To see more videos from user @abumapunda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About