@michael.ntakandi: MATUKIO NA RADIO FREE AFRICA @MICHEALNTAKANDI 🎥 CREDIT: @ExplorewithBertin @kilimanjaroMarathon @mountKilimanjaroGuide @rena_Callist @KatoroExplorer
Enzi hizo sauti maridadi ya rebeca mulesi na yusuph magasha
2026-11-27 06:13:56
13
Dj Sp _Movies :
Rebeka Muresi, Yusuph Magasha & WAMBURA MTANI 😂
2026-11-28 04:59:07
1
Dully Theboss :
Dah! umenikumbusha mbali sana aiseee
2026-11-26 20:26:04
1
kmsabila :
Unanukumbusha mbali sana 🥰 Yani hapo mwalimu wangu kashafika shuleni kabla yangu anaitwa Mathew Kasubi dah! ...Usisya primary school...Urambo
2026-11-27 05:27:00
3
Amenye Jackson Mwakipesile :
kitambo sana
2026-11-26 16:14:46
2
bashiru :
aiseeee kipindi hicho shule nishachelewa basi t
2026-11-26 11:22:43
1
wakaki D :
ka sound hako harooooh 🤣
2026-11-27 09:57:37
1
Mussa Masudi Kapama :
kaka hiyo istroment inanikumbusha miaka zaid 20 nyuma enzi radio free africa inasikilizwa kuliko radio nyinginge hasa mikoa ya kanda ya ziwa kulikua na watangazaji nguli kweli kweli
2026-11-26 12:59:01
3
🇦🇴🇲🇿Mosses _sailor🇹🇿🇹🇿 :
daaah kitambo sana
2026-11-26 17:09:46
3
Agaton Benedicto :
inatosha wamuhila
2026-11-26 20:04:26
0
MR CHINA MOBILE PHONE :
wale wachelewaji wa shule hapo ndo kwanza hatuna hata waswas.🤣
2026-11-28 05:29:05
0
~~Mkunda :
daaah enzi za marehemu kaka angu 😭😭😭😭😭😭😭, nakumbuka mbali sanaa. Apo ni majira ya saa mbili asubuhi.. kijua ndo kinachomoza chomozaa , redio aina ya Rising imening'inizwa kwenye ukuta, antenna imevutwa Hadi mwisho imeongezewa na waya umefungwa kwenye mti mrefuu kwenda juu. Daaah
2026-11-27 18:12:47
1
Maboking II OG :
wahenga hawaamini tunatazama radio
2026-11-27 04:38:44
2
G Kubelabo :
Daah umenikumbusha mbali Sana kaka enzi hizo nimechelewa shule na soksi sizioni mzee hapo anasema umeanza visingizio vyako ili usiende shule. 😂😂😂 Home nitarudi tu ipo simu Mwanza my currently city💪🏿💪🏿🫡🫡
2026-11-27 13:39:46
1
✨Ray🥰 :
Muda huo nimesimama nyuma ya nyumba nasubiri baba anifukuze niende shule sio shida zangu😂😂
2026-11-28 06:37:08
0
zebr@@ :
😆😆😆 Enzi hizo ukisikiaa ujue umechelewa shule
2026-11-27 07:09:01
3
Lazaro_ :
wahenga tujuane
2026-11-26 23:23:07
1
Aloyce George Mlenga :
Nakumbuka zamani
2026-11-28 00:11:54
0
BOFAX ELECTRONIC SONGEA :
kitambo sana mkuu miaka inakimbia sana😂😂😂😂😂
2026-11-27 12:26:03
0
OFFICIAL KING BUNDALA :
Enzi hizo ahmedy ally kipindi cha michezo saa moja na nusu asubuhi
2026-11-27 16:29:34
0
iam_edgarmoshi :
Ukisikia hii nyumbani basi ushachelewa namba hapo 😔
2026-11-28 06:17:09
0
FredyMasanja :
Dah unanikumbusha kitambo sana Bwiru hio
2026-11-27 17:59:18
0
ROBINSON SAMWEL :
ukisikia hii jua ushachelewa shuleni😂
2026-11-27 20:56:55
0
madman :
2002 hiyo niko darasa la pili mzee amefungulia radio
2026-11-27 18:29:17
0
BabrownTz23 :
Geita bukombe hiyo nikiwa dalasa la 3
2026-11-27 05:29:49
0
To see more videos from user @michael.ntakandi, please go to the Tikwm
homepage.