@wendefm: Watoto wa marehemu Eddo Bashiri wafunguka kuhusu baba yao #nguvuyaupendo❤️🤍 #wendefm

Wende FM
Wende FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 11:01:37 GMT
189784
16418
366
244

Music

Download

Comments

regina.patrick80
Regina Patrick :
Mwandishi lidako lyako
2026-11-26 13:52:05
49
neemag75
Butterfly 🌸 :
Maswali mengne had hasira 🥺
2026-11-26 11:31:47
50
user1555749345257
renlicious gonzalez :
ningemjbu naona watu wakilia
2026-11-26 11:53:23
122
ms.tynah3
MS TYNAH♥️🦒. :
B2k ana maumivu jmn😭😭😭💔💔💔
2026-11-26 11:42:58
46
official.jaah0
❤️‍🔥it's me jaah🌸🤎 :
mtangazaji kichwan meyoooo🥺🥺🥺
2026-11-26 12:42:23
39
matridamkanyipele
Matrida Mkanyipelele :
maswali mengine yana tosha sasa jamnii
2026-11-26 11:32:30
98
babyzuu37
Zuwena❣️ :
Nani mwingine amemuona B2K 🥺
2026-11-26 12:15:36
37
aishahussein7102
Aisha Hussein :
ila wandishi wa habali et unaona nini baada ya baba kufariki jaman Sasa aone nini kwanza maswali mengi watu hata awajapowa na msiba mmmmmmh
2026-11-26 11:46:05
34
user17596305499527
Jesse jr10 :
Unaona nn baba ako alivyo fariki….
2026-11-26 17:35:46
6
faith92_7
Fay🎀 :
Hivi huwa ni sheria kuhojiwa ukipata msiba au? Hamuwezi kuwaacha watu wamlilie baba yao kwa nafasi? Maswali gani hayo😩😭
2026-11-26 11:43:17
26
ms_watchtz
Ms Watch Tz ⌚️ :
Mama yao yupo hai au kashafariki
2026-11-26 12:13:58
14
rosemfilinge15
rosemfilinge15 :
kufiwa mzazi inauma sikia kwa mwezio ebu waachen mtawahoji kesho
2026-11-26 11:54:58
14
salemclean
Freeman🌴🗽 :
Hapo Ni Nyumbani Kwa Muenezi CCM Wilaya? Poleni 🙏🙏Huyo Aliyepita Hapo Na Tishet Imechorwa Rais Samuya Ni Nani?
2026-11-26 12:01:18
6
christer.stanslau
Junnah :
Iv awa waandish wa habar jmn mamb gan ay lkn ila media uchwara khaaa
2026-11-26 12:16:24
26
fettymobetto
fettymobetto :
ila maswali mengine eti unaona nini mara baada ya baba amefarki
2026-11-26 13:37:28
8
oma72769
💓oma❤️💯💞💪🦚 :
pole Sana kwa family
2026-11-26 14:13:25
0
my.only679
my only 💕💞🥰 :
pole San
2026-11-26 14:26:57
0
user1280341943043
Hemedy Official :
Big up B2k
2026-11-26 11:50:46
0
desiremnyavanu
desiremnyavanu :
mtu wa karibu akikaribia kufariki lazima akuagize chochote tu ilimradi uende mbali asikate roho umkimshuhudia, polen sana Rahim na Kareem
2026-11-26 19:21:42
1
lucykikoti73
lucykikoti73 :
ila maswali mengine jaman.....ety unaona nn baada ya baba kufariki????? serious
2026-11-26 14:28:30
4
meshacknyunza2
mwagito brand :
kama Mimi ndo naulizwa kuwa nimeona nini nakujibu kuwa nakuona wewe apo mzur
2026-11-26 12:02:10
4
amani_msuya93
Amani msuya :
Ila baadhi ya media zingine bongo ni shida mtupu[Tears of joy]
2026-11-26 18:40:49
2
cheusi03
🌸@Nasmia Chc🖤🌸💚 :
mtangazaji kuna maswali zeeee
2026-11-26 18:35:42
1
dignakanje
Mainka :
Mungu atusadie tu.Yaani unaweza kufanya kzi kwenye tasisi kubwa lkin ukajikuta unakufa wewe hujafanya chamana kwaupande wako ila hyo taasisi imekutumia vzri sana kuiletea faida kuendelea nakufanya iwe imara.Tujifinze jmn kupitia hivi vifo vyetu.
2026-11-26 11:39:47
0
limage33
💝limage village💝 :
jaman inamaana hata mama yao alisha fariki kumbe[Facepalm][Facepalm][Facepalm][Facepalm][Facepalm][Crying][Crying][Crying] mungu watie nguvu
2026-11-26 11:49:24
3
To see more videos from user @wendefm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About