Pole sana my brother Ali Ismail mungu akujalie upone amin 🙏🙏🙏
2026-11-26 13:53:03
108
Bi Zuleykha🦋 :
Sijui Kwann Nilipomtazama tu Akili yng imeniambia Anasumbuliwa Na Hasad🥹🥹
2026-11-26 14:03:57
360
fety-food-delivery :
tunaomba namba tuchangie tulichobarikiwa kaka🥺
2026-11-26 19:09:52
18
Sitaki :
woooii😭Sub'haanallaah Ana nn Ali Ismail Wtu Favourite Singer jmni
2026-11-26 21:25:18
0
agent muelewa :
subhaanallha allha atakuponya inshaallah na uwo mchango tutie kwenye namba gan
2026-11-26 13:11:54
16
ĥaffy 🧸 :
Allahumma la sahla illa ma ja'altahu sahla, wa anta taj'alul-hazna idha shi'ta sahla 🥹🤲
2026-11-26 13:31:13
422
fetty :
hata mm Kuna moyo unasema anahasadi ajitahidi kunywa maji yaliyosomewa Dua na kuoga maji aloyasomea Dua sulatul fatihah ,faraq, nasi na ikhilaswi bila kusahau ayatukurusyu na kumswalia mtume apulize katka maji awe nakunywa mara Kwa mara atapona bila kutarajia
2026-11-26 17:08:54
55
Missluu :
ALLAH AKUFANYIE WAPESI UPONE INSHALLAH
2026-11-26 15:15:02
68
mommy ajmal :
ally amjaaliye shifaaa nawepes
2026-11-27 07:01:31
0
naaah 😇(chalah gal.'😘 :
hii nyimbo,. inatwaje
2026-11-26 15:29:02
5
Mussa Juma :
pole saa my brother
2026-11-27 04:18:41
0
Nabilah🔥♥️ maboys 🙏 :
pole jamn
2026-11-27 06:18:36
0
Abdultalib Ali Salum :
Naomb namba yake please
2026-11-26 13:10:36
14
Heluwaa Haluwa :
pole san
2026-11-27 05:54:08
0
princess ♥️🌹ti :
pole sana utapona kwauwezo wa Allah 🙏🤲😭
2026-11-26 15:55:57
9
baby polite one :
ndio huyo wa mwanzo mweny kofia ya weip na bluu?
2026-11-26 18:02:13
5
said :
Allah ni mwingi wa huruma atakuhurumia InshaAllah atafanya wepesi upone amiin ya Allah tujaalie afya njema
2026-11-26 18:26:03
5
MISSZANZIBAR😍 :
Subkhallakh pole sn nini shida
2026-11-26 21:09:29
0
Ismail :
pole sana broo mungu akusaidie ishaallah
2026-11-26 13:49:24
5
Fashford queen 👑👑👑 :
weka namba ya muamala atakae wiwa kutoa atatoa, jamani kama tunauwezo wakuzichangia tim za simba na yanga wachezaji kiwaki wanafanya makosa basi tunaweza kumchangia kaka yetu ili aweze kusaidika NA TUSIJITENGE KWA DINI TUTOE WOTE KWA UMOJA WETU JAMAN
2026-11-26 17:05:30
5
Miss _shooteer💖 :
pole Sana ndio mitihan Allah akuponye . tuwe na subra
2026-11-26 12:41:40
5
hawaa :
pole ndugu Allah akufanyie wepes
2026-11-26 12:37:38
5
Black artist_01 :
pole sana ostadh ali dah hujafa hujaumbika ndo mitihan ya binadam[Hands open]
2026-11-26 12:08:43
7
user3922069120217 :
mpeleken spital ya hapa minanasini tumuombe m.mungu
2026-11-26 14:25:41
11
neysaid09 :
pole sn kaka angu mung atakuaf
2026-11-26 12:47:15
8
To see more videos from user @officiallversboy, please go to the Tikwm
homepage.