@mrshadracktz: Wimbo wa kamanda watumika kumuaga eddo bashiri#creatorsearchinsights #tiktokvideoideasandcompilations

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 11:29:58 GMT
44477
4662
190
83

Music

Download

Comments

djkandumyao2
DJ KANDU MYAO :
B2K LAZIMA ALIE MAMA BILA EDDO TUZINGEMJUA B2K😭😭😭
2026-11-26 12:07:50
107
user870998811450
uJessica Mwathiser870998811450 :
inatufundisha kuishi vzr na jamii 😭😭😭
2026-11-26 11:58:35
63
raisiwakigamboni2
RAISI WA KIGAMBONI :
hii nyimbo ni nzuri ikilia kwa jirani
2026-11-26 12:00:24
102
linahgirl77
linahgirl7 :
Ingekua machozi yanaamsha basi ungeamka ukaona upend wa watu wa Iringa🥺
2026-11-26 12:14:27
40
tariq.com21
TARIQ💘💘💘 :
daaah b2k kafanya nilie japo sijafika msibani nimelia sana eddo nakumbuka kipindi umekuja arusha na ubaloz wa yas uliniambia kuna maaisha baada ya ajira nisijivunie kaz daaah elo umeenda nenda kaka ulale salama😭😭😭😭😭
2026-11-26 12:01:41
58
daniel_explorer
Daniel Mlamka :
mbona CCM tena.???
2026-11-26 12:00:17
14
alhamhappy
alhamhappy :
Acha tulie tu siku hizi watu wenye moyo wadhahabu wachache
2026-11-26 11:57:05
12
alice.justine.cos
🇯🇲💘RIzzY tee 🇯🇲🇯🇲🇯🇲 :
kwani alikuwa na cheo gani wakuu wa ccm
2026-11-26 13:09:39
1
prisca47647
prisca💦 :
poleni jaman wanairinga
2026-11-26 11:54:58
9
vinnie.saimon
Vinnie Saimon :
Eddo umetuumiza sanaaa uwiiii
2026-11-26 11:41:29
13
gradiness.rose
mama gradness 🌹 💐 :
jaman mbak nimelia japo simjui
2026-11-26 12:13:46
7
user99597192814508
Sifaela Obeid :
Kuna huyu amesuka analia kutoka moyoni kabisa. Pole sana kaka....Mungu akuponye majeraha yako
2026-11-26 12:21:35
6
captain.mwambo
Captain Mwambo :
Edo alijua kuishi najamii vizuri mimi sijawahi onana nae lakini nilikuwa namkubali sana Rest in peace Edo
2026-11-26 12:03:28
11
user8684810633733
M💕Light ♥️🌹 :
mbn Mimi simjui eddo
2026-11-26 13:09:06
0
dorry.de.mass
Dorry De Mass :
kwan eddo alikua nan na kifo chake kimesababishwa na nn?? naomben kueleweshwa😳
2026-11-26 13:15:15
0
rodry45682
Rodry45 :
R.I.P brother
2026-11-26 13:06:39
0
ummydesigner8
Ummy food point :
mbn nalia jamn
2026-11-26 13:16:41
0
fat_hiyah.chaula
fat_hiyah chaula :
😭😭😭😭😭😭Edo kamslaimie At
2026-11-26 13:06:25
0
dorry3723
Dorry🦋 :
rest in peac kaka eddo tiger
2026-11-26 12:21:14
5
star.hillah_tz
Star hillah. :
Poleni sana ndugu zangu
2026-11-26 13:14:35
1
judithdunnia
Official J..D :
Hivi huu wimbo aliimbaga nani jaman daah💔💔💔💔
2026-11-26 12:49:08
4
gervasgervas2
iconboutz :
ishi vizuri na watu mwisho wako uwe mzuri
2026-11-26 13:17:19
1
prince.r.mella
Prince R Mella :
kwa mara ya Kwanzaa msiba wa mtanzania na ni Tanzania kuangwa kwa nyimbo. ingawa ni nyimbo ya uzuni na yenye kusisimua. lakini wafiwa wacheza
2026-11-26 12:31:05
0
mzudecon_
conmz :
ccm niaje tena
2026-11-26 13:12:49
1
elishasalenge
Salenge jr :
naamin if cjui kama tulkuwa tunawish awe hai kam hiv tunavyo muhitaj akiwa hayupo....NB kama uko karb na mtu pambana nae had mwisho sabab cku xafar yake ikiisha weng watakuja ...weng walkuwa ata hawajui anaumwa nn au shda ilkuwa nin..na si kwamba n vbayaa ila ndo binadam tuko hvyoo...tujitahd kuwapamabania watu wa karb yetu...naam eddo alkuw anajua kuwa anapendwa na watu...ilaa naamin alkuwa hajui kama n watu weng kias hiki..
2026-11-26 12:23:19
0
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About