@iringa_empire_media: POLENI WANA IRINGA #iringa #IringaEmpireMedia #eddobashiri ##msiba

IRINGA EMPIRE MEDIA
IRINGA EMPIRE MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 11:34:55 GMT
132133
15934
547
261

Music

Download

Comments

kichwamaji22
KICHWA MAJI 💦 :
B2k feeling is so painfull😢😢😢
2026-11-26 11:48:16
350
user1974748181626
ffatuma dinnoh :
nani karudiarudia kuangalia video kama mimi
2026-11-26 12:34:53
125
h.girl49
H.girl :
huyu peponi moja kwa moja daaah sijawahi ona upendo kama huu
2026-11-26 12:41:15
47
diana.prince233
Mrs nchonaa :
kupitia huy marehem Kun kit nimejifunza tupendane jamanii dah😭😭😭
2026-11-26 12:24:10
99
tumainivictor237
baby T :
b2k kwa heshima kubwa umeweka ustar pemben
2026-11-26 12:23:15
97
sarahchalale52gmail.com
Madam p💕💕 :
B2k ndo anafany na mm nilie xx😭😭
2026-11-26 12:44:55
28
officialgina60
officialgina60 :
Sherehe ni tatu kuzaliwa, ndoa , na kifo
2026-11-26 12:43:08
10
attuhpeter
Attuh💦😘 :
Allah atupe mwisho mwema Amin🙏❤️
2026-11-26 12:34:33
13
user8813325298476
@seonyoung :
uyu mwenye Sweta la chocolate ndo kaniliza😩🥹
2026-11-26 13:05:55
9
francis.thomas814
konde boy🦣🦣 :
Hakuna kitu ambacho kimeshindwa kuzoeleka kwetu sisi wanadam kama kifo eeh mwenyezi mungu tupe mwisho mwema🥹🥹🥹
2026-11-26 12:31:26
42
officialkhary19
kharisa :
ila eddo kajua kutuliza jmn😭😭😭
2026-11-26 11:49:52
11
peacesteezze
p-steezze :
alazwe pema peponi eddo
2026-11-26 11:56:56
10
jenipherwille
Jenipher Wille :
rip baba rahim na kareem
2026-11-26 13:16:07
0
msiri.girl
msiri girl :
nataman aamke aone watu wanavompenda[Teary eyed]
2026-11-26 12:11:40
38
hopeoutfits2
miss.hope💍🇹🇿 :
me nae nalia jmn b2k😭😭😭🙌
2026-11-26 13:25:30
0
leylamasoud565
ivy❤🎀 :
mtot wak anaimb ila unaon kabis anaumia
2026-11-26 12:20:13
26
loveness2490
Double J🥰 :
B2K anafanya nilie pia🥺
2026-11-26 13:12:01
1
merry.barnaba
Merry Barnaba :
Pole san b2k
2026-11-26 12:18:57
0
de.elv
deelv❤️ :
niite baba wawili baba wa wale wawili Raheeem na kareeem....na hii ni tje splash ya ebony fm....ngoma ilopita inaitwa MAN DOWN ya mukimama vangu RIHANA...SPEAKING OF RIHANA BHANAA anautesa moyo wangu sana Riri...riri utaniuaaa riri....dah sleep well ED
2026-11-26 12:46:49
6
joshking037
joshking :
daah upendoo umezidi kwa huyu jamaaa watu wanaumiaa lkn wakikumbuku kama ni mwemaa wanahisii peponi atakuwepo na iwe ivo Amen
2026-11-26 11:54:50
13
min_micki
...💞🔐 :
Jamani 😭😭😭😭😭😭, nakosa cha kusema. Naeaonea huruma sana watoto wake, kuishi bila wazazi wote ni mtihani sana kwenye hii Dunia. Mungu awafanyie wepesi katika maisha yao ya kila siku.
2026-11-26 12:16:57
10
lizzybillionaire26
Elizabeth26L :
We edo wewe hawa watt edo 😭😭😭😭😭m stak jmn akina Rahim hata kuwaona mm natetemeka ntawaangaliaje mm nikikumbuka ulivyokua unaniona na wakina Rahim utasimama tu na gar la PA unitanie kdg edooo edooo mmmmmh sawa bhn
2026-11-26 12:35:35
8
aiemnasra
NASRA :
kama kweli nafsi inakuwa pembeni inaona kinachoendelea kama inavyosemekana atakuwa na amani akiona jinsi watu walivyjitoa kwajili ya msiba wake,na atapumzika kwa amani Ameen
2026-11-26 12:23:15
13
happynesscutehapp
cutehappy2 :
mm sijui siku nikifa itakuaje kwa ndg zang😭😭
2026-11-26 12:39:01
5
recho.john34
siara ♥️🔐 :
huyu mtu alikuwa mtu wa watu jmn dah 😭😭
2026-11-26 12:13:29
5
To see more videos from user @iringa_empire_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About