@ali.oman.king.yao: Oman Halua Ni bure kabisa#oman🇴🇲 ##tanzaniantiktok🇹🇿 #dubai #welcome Oman baby

Ali Oman king Yao
Ali Oman king Yao
Open In TikTok:
Region: OM
Thursday 26 November 2026 12:12:33 GMT
6861
264
30
118

Music

Download

Comments

mohamedhassan6033
Mohamed Hassan :
woooow amazing 💖💖💖💖💕💕💕💖
2026-11-27 21:24:54
1
haroub.suleiman
Haroub Suleiman :
hio kuweka bure ni khiyari ya mfanya biashara mimi nakumbuka kidemi mzee mwenyewe muanzilishi alikuwa haluwa ya kuonja anakupa bure na hata maharuki mtendeni alikuwa akiweka ya kuonja na kahawa baada ya kufariki wstoto hawakuendeleza ile kionjo
2026-11-27 03:50:17
2
saidjelani8
saidjelani8 :
bure yaumiza bro usipende sana shauri yako 😂😂😂😂
2026-11-27 04:37:24
1
suleyman.ali286
Suleyman Ali :
nahata uko oman sehem nyengine hawatoi bure
2026-11-29 05:06:47
0
its._ally_kutz
its._ally_kutz :
seeb
2026-11-26 21:28:05
1
magram175
[email protected] :
brother hapa ni seeb
2026-11-27 04:42:26
1
sae_mac
saem :
2026-11-29 12:35:23
1
da.chala1
Da Chala :
masha Allah tabaraka Rahman neema na imani zao wanazidi kuneemeka
2026-11-28 04:46:12
1
user13339156181034ibrah
Ibrahim Said Mohd Alyahmad :
Maanshallah 😄😄😄ndiyo hivyo maisha lazima uwe mwema
2026-11-27 13:08:08
1
user93008678240437
user93008678240437 :
location seeb
2026-11-27 10:56:27
1
saidi.massoud6
Saidi massoud :
mashallah
2026-11-26 13:04:22
2
user7368771308598
m :
2026-11-27 09:35:27
0
said.ishaq16
Said Ishaq :
watu wanafanya biashara kwa Imani wanajua wewe ukisema Alhamdulillah wao washaekeza kwa Allah
2026-11-29 06:30:43
1
youngman8866
youngman :
sio bure ni ya kuonja .ili ununue
2026-11-29 14:15:01
1
jkarume
Dangote :
kwani nani kasema Omani wako na Njaa..? eeh kaka mbona tena..! khalafu wewe wapenda vya bure sawa.. sio kila mtu apenda vya bure...
2026-11-27 03:55:07
1
ar969419
ar9694 :
kama hununui ni aibu, ni kionjo ili choose wataka ipi jamani
2026-11-27 02:50:25
2
saidmohammed1780
saidmohammed1780 :
njaa hii iloletwa huku kwetu akupe nan kitu cha bure
2026-11-27 08:15:37
0
To see more videos from user @ali.oman.king.yao, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About