nmesikiliza hadi mwisho hii clip ina DAKKA 2:34 CHAGAMBA ameitwa mara 21 😂😂
2026-11-28 20:45:28
15
mike :
Semaji ni mmoja tu Ahmed Ally
2026-11-28 17:15:23
12
Hasan Sinda :
anaropoka Sana lisemaji la Yanga hasapoti mashabiki huyoo
2026-11-28 18:12:37
7
ruban Salam chisunga :
hili jamaa linajuwa mpira sanaa
2026-11-28 19:18:37
5
Yassa Mnyad 68 :
sisi tunajiamini simba hawajiamini ndio mana msemaji wao anakimbilia kutaja uzur wawapinzan kuwaweka mashabiki zao vizur kisaikorojia hata wakifungwa sawa hakuna kelele
2026-11-26 17:12:47
8
Dzeko Maestro90 :
Kaka we mwana football ulichokisema ndicho kilichotokea
2026-11-28 19:25:42
5
suche :
Yani Leo amezidi kumtaja CHAGAMBA tofauti na siku zote 😂😂
2026-11-28 18:19:50
3
SamTinna :
samahanini jamani imenilazimu kufanya hivi. am so sorry 😞 😔 😟 🙁