@ambuanestrealty: #Eldoret #ambuanestrealty @VISUAL_BENTAH🇰🇪 @Bettahomes and Properties @DAKTARI WA NYUMBA @Dr. Roberts Eldoret @EldoCity Realtors @ELDORET HOME LINK @Eldoshan house plug @Great deals realtors @HAPPY REAL ESTATE @HODARI HOME'S ELDORET. @CT Lens🇰🇪 @Eldoret House Hunters
Just taking advantage of the demand.. time will catch up with them
2026-11-26 17:41:34
9
Mama_Kiki :
Na wapunguze rangi mingi kwa nyumba na tiles vitenge..na open kitchen mbayaa 😏i said it!
2026-11-26 14:12:18
14
miller :
CITY Standard. mlitaka kuwa city that's the side effects
2026-11-26 17:07:29
4
The Duke :
For Real
i used to Pay Bedsitter 4500 apo Opposite Ndupawa tu....Sahii mambo ni ngori heri tuhamie sides za Njia ya Chepkoilel
2026-11-26 19:58:26
1
@I.V.Y😎🦋 :
Na muambie hao landlords wakipandisha manyumba rent wapake hata nyumba rangi watu wakihama😫😫kuna nyumba nimeona hapa kokwas inakaa a haunted house😅😅
2026-11-26 13:51:08
7
shirugrace :
Wengine hata hizo cabinets hawaweki na wako busy kuongeza rent
2026-11-26 14:13:14
3
JaceFitness🤎🖤 :
I don't even think they care 😔
2026-11-26 22:16:52
0
predator💀 :
mmi mwenye natafuta ya 3500 ndapata kweli
2026-11-26 20:21:52
0
rcee005 :
ni tamaa Tu wako nayo...it will catch up with them,hauwezi take advantage ya watu n the way economy iko,hatukataii nyumba ni zenu but kindly mkue considerate n true nakuru houses are damn cheap na zinakaa fiti sana
2026-11-26 17:53:59
4
Evans The Gee :
muwaachie twende tuishi Sokomo ama Silas
2026-11-26 20:12:35
0
Jay~Flexx :
City status my friend 🤔
2026-11-26 19:19:42
1
Reeny :
they increase the rent mshahara inabaki hivo hivo 300 per day in most jobs here in eldoret wuee ni noma🤭
2026-11-26 19:10:59
2
Nash🩷🦋 :
kwanza bettsitter ya 8k deposit ya 8k tena ni ya nini mbona isikuwe 2k
2026-11-26 19:49:46
1
Edu 094 :
C ni city
2026-11-26 19:40:40
0
billy 🌹 :
ebu ingia live mm Hadi na chizi
2026-11-26 15:16:29
2
Mental :
taxation
2026-11-26 18:52:53
1
Sally💐 :
nyumba zenyewe zinakaa vibaaaaya ,Rangi Kwa nyumba n rainbow
2026-11-26 19:08:25
0
Mama_Kiki :
Nliuliza juzi hakuna mtu alinijibuu 😭😂aki na hio bei ata si worth ittt!! Nyumba nliishi 2023 2b 16k sahii ni 25k..hakuna kitu wamechange!!
2026-11-26 14:10:45
2
Mercie Jemu :
But it's a serious discussion point, cause eldy si ati corporate jobs ziko mob and lots of businesses are not doing well either... hii increase in cost of living especially vitu Kama rent will force people to relocate in search of more favourable environments especially the self employed
2026-11-26 17:03:11
1
miller :
But affordable Houses zitafuza landlords alesson let them enjoy as it last
2026-11-26 17:09:46
2
To see more videos from user @ambuanestrealty, please go to the Tikwm
homepage.