@kukimalano: #tabianjema #tanzaniantiktok🇹🇿 #capcut #kenyantiktok🇰🇪 #shikome🌴

SHIKOME 🌴
SHIKOME 🌴
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 14:31:22 GMT
5395
655
98
116

Music

Download

Comments

ugalimboga1
UGALIMBOGA :
tuvitisho tudogo tudogo
2026-11-27 04:21:54
20
user8763323540435
user8763323540435 :
mm kuna maswali najuuliza ? Mungu wa biblia na Quran anasema tusamehe 7×70 au mpende jirani yako kama unavyojipenda ww ,mbona shetani hakusamehewa
2026-11-27 05:30:02
8
ashamalazu
Ms Asha 🌸 :
Kama vipi wauache hapo hapo wasitutishe 😂😂
2026-11-27 18:45:08
2
queenrajabu
Queen :
Kwa kweli tupo pamoja kaka Yaani mi nikidai haki yangu ndugu sasa wanavyonijia juu ety sisi ndiyo tutakao kuzika ndiyo kwanza sijali maana maiti asuswi hata serikali itanizika huo ni ujinga 😂😂
2026-11-26 17:09:49
10
alphonsinaikingu
Alphonsina Ikingu :
Au anakuambia Kuna Leo na kesho 🤣
2026-11-27 13:45:22
3
rey37776
Rey :
Tusitishane kabisa! watu wanakuletea ujinga alafu wanataka uwachekee , eti utazikwa na nan
2026-11-27 11:45:42
14
audax.osward
Ngalawa Ngalawa :
ntapinga dini mpaka kesho
2026-11-26 19:13:56
8
dngurue
ngurue :
hawapendi ukweli
2026-11-27 17:55:25
2
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Bro hakuna kitu kinaitwa Roho...
2026-11-26 18:53:43
1
masanjalubana
masanja health🩺💉&funny🤣🤣 :
genz ndy kizaz bora kuwah kutokea kina relate maandko na real life🤣
2026-11-27 06:03:53
13
freddymasticker600
Diffre sticker :
kaka wewe una mawazo kama yangu
2026-11-27 08:20:31
5
josephatmwasamwen
Josephat Mwasamwene :
hata mtaan kwangu wanasema Mimi siziki watu na kumlalamikia wife ila Mimi namwambia na wao wasije kunizika.maan mtaan mzima ni watumwa wa dini
2026-11-27 14:10:41
3
simply_carry12
simply_carry🧿 :
ndo hapo watajua wenyew mradi mi nshaenda niendako
2026-11-27 08:52:58
2
user1756536539760
amidu :
wambie
2026-11-27 19:38:18
0
mremamrema685
kelvin kimaro :
wafia dini huwa wanaona kuzika kuwa ni jambo zito sana,utasikia kuwa wewe hatutakuzika,wanasahau kuwa nature yenyewe ina uwezo wa kuteketeza mzoga wowote ule( kwa kuuozesha).na kuhakikisha mazingira yanabakia safi.
2026-11-27 09:34:10
3
offisho.yeye3
offisho yeye :
tuna tishana wenyewe kwa wenyewe
2026-11-26 16:25:50
4
amaniharegamka
Harega family 🚛 :
zambi ya ADAMU na HAWA inatuyesa paka leo na kwanini mungu hajamuua shetani lengo la mungu ni kututesa apa duniani ama how are you 🥺🥹
2026-11-27 15:25:06
1
vpesa5
V&pesa :
Hata mimi siogopi watafte sababu nyingne 😁😁😁😁
2026-11-27 08:13:13
2
mamawadudu
Mamawadudu :
safi
2026-11-27 11:50:23
1
iamnipherrj
nipher :
😂😂😂😂watu wamevurugwa
2026-11-27 07:54:26
1
tashriff123
0777652200 :
hahahaha hahahaha soma comment
2026-11-27 12:43:48
1
mercyoneworks
MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD :
good message 👍👍👍👍
2026-11-26 17:39:33
1
3lamah69
LAMAH69 :
2026-11-27 14:15:48
0
jacquelinechristo1
Her majesty 🧿🦂 :
2026-11-27 11:16:36
0
fatma.hassan8192
Fatma Hassan :
ukwelii kabisa waauache umo ndanii tu
2026-11-27 20:33:21
0
To see more videos from user @kukimalano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About