@wendefm: Katibu wa Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Iringa kutafuta barabara moja ndani ya Manispaa ya Iringa na kuipa jina la marehemu Eddo Bashiri, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi kwa vitendo. Akizungumza wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu iliyofanyika katika viwanja vya KKT Kibwawa, Kihongosi amesema hatua hiyo inalenga kuendeleza kumbukumbu ya mchango wa marehemu katika jamii, hususan katika kuibua vipaji vya vijana wa Iringa. Amesema marehemu alikuwa na mchango mkubwa katika kuwainua vijana na kupambania vipaji vyao, hivyo ni muhimu jamii kuendelea kumkumbuka kwa vitendo. #nguvuyaupendo❤️🤍 #wendefm

Wende FM
Wende FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 15:06:54 GMT
27100
2659
38
28

Music

Download

Comments

mwangede
FRESH BOY 💫🥰🫂 :
EDO BASHIRI TIGER STREET 🛣️
2026-11-26 16:01:33
12
mihayo_motors
Mihayo motors :
Hii heshima angepewa akiwa hai angejivunia all in all kila kitu ni mipango yake muumbaji
2026-11-26 16:40:28
14
jy.sureboy04
JY SUREBOY :
Sasa CCM ya Nini apo asee!
2026-11-26 17:02:27
1
mishier3
mishier :
Bora aisee wameona Hilo
2026-11-26 16:31:43
3
slent2992
slent :
watu wa Iringa nawapenda sana
2026-11-26 17:18:48
2
naomisaid6
Naomi Said :
Ahsante 🙏 cyo Iringa tu ameibuaa vipaji sehem nyingi
2026-11-26 16:56:32
0
mtubaki2702
Mtubaki :
Hapana Kenani kasimama kama Wanyumbani.
2026-11-26 16:55:54
2
nissarchadema
Nissar Chadema :
edo ni mbwa km mbwa walio furahia maiwaji ya oct 29 na bafo hii ni trellar tu..Mungu yupo kazin
2026-11-26 18:10:59
0
deborasagamiko_official
Debora Sagamiko :
Na kitabu cha Historia yake
2026-11-26 20:03:19
2
alleymwanyengo22
alleymwanyengo :
sio vijana wa iringa tu
2026-11-26 16:17:43
1
user6650922269616
Oliver :
Asante
2026-11-26 18:06:14
0
kyelaresort
Kyela Resort :
Hapo kiongozi 🙏🙏🙏
2026-11-26 16:09:12
1
semehudeke
semehudeke :
ajengewe sanamu jamani he deserve
2026-11-26 16:39:01
1
lilian.salim0
lilian salim :
ametuuma jmn
2026-11-26 18:36:14
0
hemilless
mr.privacy outifit :
na so mtaa tu Saman tunataka
2026-11-26 20:31:50
0
mbogo646
Mbogo :
kweli mkuu
2026-11-26 18:03:19
0
figeniamgaya
Figenia Mgaya :
asante
2026-11-26 16:25:14
0
bestiravigaro
Martha 45 :
asante
2026-11-26 17:17:48
1
ruqayyh50
ruqayyah39 :
kabsa kiongozi
2026-11-26 15:55:46
0
isackngando
Isack Ngando :
safi sana
2026-11-26 16:45:14
0
kelvenjohn66
Kelven John :
duu
2026-11-26 21:57:53
0
rachel.kiwonde
Rachel Kiwonde :
Kabisaa
2026-11-26 17:01:29
0
febielias490
feby,,💞💞💞ma.b❤️❤️ :
duuuu
2026-11-26 17:50:49
0
evaristmunael
Evarist Munael :
jaman mlkua wap kipind akiwa hai mm sisem kwa ubaya ila naomben serialised hii muwe mnasapot mtu akiwa hai na yye aone aseme kwl serikali inatambua
2026-11-26 17:25:05
0
barakadickson23
Baraka Dickson :
aiseee
2026-11-26 15:39:04
0
To see more videos from user @wendefm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About