@shiraziboy: #ila bongo!@Khabane lame

Dj Fella 🇹🇿
Dj Fella 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 15:52:16 GMT
282081
8369
431
291

Music

Download

Comments

user361081357481
Rehianna Arubaamiri :
huyo Paula kazaliwa 2000 jaman anamiaka 26
2026-11-26 17:42:17
38
faudhiachrispian
cute faah :
ila dulla makabila shikamoo 🔥🔥
2026-11-26 16:37:09
142
user7238612201049
jacquelin nehemiah :
wanao sema kwenye miaka wanasema uongooo tujuwaneee
2026-11-26 20:03:23
81
yazrinkitchendelight
yazrinkitchendelight :
Kwa nandy umedanganya! Nandy ni 92 billnass 93
2026-11-26 19:22:43
29
barazanzibar
Mzanzibara :
lulu diva hana miaka 31 😄😄 anakuwa star mie mdogo na saiv nina umri wa miaka 33 hlf awe yy kazaliwa 2000 au😄😄
2026-11-27 09:17:53
5
rizia.kim561
Rizia kim :
I thought pricy ni 25
2026-11-27 21:12:39
0
monicamussa685
Mom Eugen ❤️🥰 :
Dulla na mama mobeto 😂😂😂😂😂
2026-11-26 17:48:49
7
haniphaothman4
Patimah💝 :
wema kumbe Ako na miaka 36 na hamsemi jamani watu mna Siri nyie
2026-11-26 17:14:40
13
pheona03
pheona03🥰 :
fahima ako 29
2026-11-26 18:28:40
8
precioustrevor1
precioustrevor :
Kwa wema uongo
2026-11-27 20:36:25
2
sammah_06
💕Sammah :
what's wrong with Venessa and Rotimi
2026-11-27 12:11:29
0
atuganile.philemo
Atuganile Philemon :
Hapo Kwa nandy umedanganya
2026-11-26 18:28:26
16
bosslady2555
Boss Lady :
Priscilla 2000 sijui 2001 jaman
2026-11-27 05:08:52
8
rams_berry
🌸Rams berry🌸 :
Sjaelewa apo kwa dulla makabila
2026-11-26 16:45:44
10
shazycute45
v,nica :
zuchu mdogo jamani miaka 24
2026-11-27 07:38:08
5
user4811307690839
deegal :
Wanabemendana bhana
2026-11-27 16:39:28
2
user6129743831786
happy :
hao ndo wabongo bro 😂😂
2026-11-26 16:07:45
6
dian37013
dian💕💕 :
hyo Mama amina nae mmemuweka wann
2026-11-27 14:47:40
0
elizabeth66346
Elizabeth :
hamisa na Nandy wako sawaa
2026-11-27 15:03:59
1
dialam255
@zuu255 :
mbona Mimi n mhalifu wangu hujatuweka kwa list
2026-11-27 08:31:28
3
kusubirisiokupumzika
Celline :
Kwahiyo mmeshindwa kujua Alikiba😅
2026-11-27 10:58:17
1
user8178661538117
𝓨𝓸 𝓰𝓾𝓻𝓵 𝓝𝓪𝔂𝓪𝓱🥰🌹 :
𝒊𝒌𝒂 𝒁𝒖𝒄𝒉𝒖 𝒌𝒂𝒆𝒌𝒆𝒍𝒆𝒘𝒂 𝒋𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊
2026-11-27 08:33:24
0
lostgeneration197
Lost Generation :
Zuchu ni mdogo bana
2026-11-27 07:40:44
0
joceleenjoseph
Jayce :
😂😂😂😂Kumbe Hamisa ni mdogo kwangu na sijui na anagombea umiss mm nipo class 5
2026-11-27 07:20:57
2
jasmineharuna633
♌MOM TWIN'$👯 :
umetuuza nand alisema anamzid mumewe mwaka mmoja🤣🤣🤣
2026-11-27 11:17:23
1
To see more videos from user @shiraziboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About