@hatibusaid465:

Hatibu Said
Hatibu Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 26 November 2026 16:25:27 GMT
13190
946
48
58

Music

Download

Comments

unlimited.money12
Unlimited money :
tupo wengi kaka😁😁🤣🤣🤣
2026-11-27 15:12:00
17
phina2304
Phina chrss :
Me nikiwa na million moja t ooya kwanz ctak ata kutongozwa naona kama unataka uniibie😅😅
2026-11-27 20:21:58
3
msigwalucy
msigwalucy35@ :
Me na 50 mpenz wangu simpokelei simu 🤣
2026-11-27 20:02:24
2
manswe.jonhjr
MANSWE :
we laki tatu nyingi me teni tu mbona watatagaa
2026-11-27 18:22:55
1
madeb496
🥰Madeb🥰 :
umejuaj
2026-11-27 20:17:24
0
mr.p_outfit
OLD MAN👴🏾 :
Current situation😅😂🤣
2026-11-27 15:29:30
0
g_fox1666
untochable :
lak tatu kubwa hv elf kumi tyu inatosh kuw jeuli
2026-11-27 20:59:03
0
user9118355504180
KAFUVI MK :
😂😂😂😂kumbe upo kama mm
2026-11-27 19:17:06
0
popigagia
popigagia :
🤣🤣🤣usiseme hivyo
2026-11-27 19:24:04
0
user6336234945838
Peter :
bora wew mm na 10 tu hapa😂😂
2026-11-27 19:56:15
0
amos.robart2
AMOSY :
tafuta pesa
2026-11-27 17:34:01
0
angrybird9246
Mwaj..🇹🇿🇶🇦🫶 :
mume wangu na mimi nimepata laki 2 zitakua 5 tufunge mtaa
2026-11-27 19:45:23
0
preky23
Prekido :
Kaaaaah laki tatu
2026-11-27 19:12:46
0
mussa.meena.mdumbe
Mussa meena mdumbe :
hamna hiloo tatizo😎😎😎
2026-11-27 05:42:44
0
chuiii049
chuiii :
2026-11-27 19:29:06
0
lil.silver.jr
lil silver jr :
2026-11-27 19:10:27
0
michaeli077
michaeli :
2026-11-27 19:32:04
0
mtumakini8
Mtu makini :
2026-11-27 19:09:37
0
joshua.faraji
joshua :
bora wew 300k mimi nimenunua suruali mpya moja ani naona kila mdada ninayemuona kama amenipenda vile😂😂😂
2026-11-27 17:19:50
2
useretech
Wall Street King :
SASA NDO LAKI 3 hyo si ya Mboga Tu. na anakaa nayo wife kuwa sereous
2026-11-27 19:44:31
1
user9826167690843
yusra Musa omari :
me nikiwa ata na laki tu naona watu wasokua na ela wazembe🤣🤣😂
2026-11-27 20:55:37
0
moranilesoile
ole Barcelona :
afazali wewe mimi kuna siku nimebet nikala laki mbili nikaanza ku google mazala ya kula ugali
2026-11-27 20:31:55
0
armandopereira12
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
bora ww ... kaka m huwez amini nimeweka laki na 20 ..benk. kaka muda wote napita pita nje ya benk ...kuwaangalia walinzi kama wamelala au raah .. wasije wakavamia wakachukua hera yangy
2026-11-27 20:14:59
0
suleimannassoro217
Mbosso bachan98 :
😅🤣🤣 tuki kuongeza nyengine si uta tubrok
2026-11-27 20:16:09
0
nassatrephon
[email protected] :
yatakushinda🤣🤣🤣🤣
2026-11-27 14:31:26
0
To see more videos from user @hatibusaid465, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About